Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,888
- 1,867
Mimi na walimu wenzangu kati ya 80 kasoro 2 tumeisha kubaliana kura kwa ukawa na leo tulikuwa tunahamasishana twende tukahakiki ewe mtumishi wa umma ungana nasi kutokomeza utawala dharimu wa ccm