Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

Katika mambo Magufuli atayashughulikia haraka ni maslai ya walimu... ikiwemo kuwaongeza mishahara na posho na hii itakuwa maalum kwa Walimu!
Tafadhali mpeni kura zote!

Cc Evelyn Salt!
Ha ha ha loya we ndio magufuli mwenyewe nini make unavokomaa kutushughulikia walimu lol
Ccm ni ile ileeee ooh ni ile ileee.....naimba tu
 
Lowasa mabadiliko...Mabadiliko Lowasa.
Lowasa atatatua hizo kero zote. PAYE inatubana wafanyakazi huku huku makampuni makubwa yanasamehewa kodi.
Serikali inatubana sana
 
Katika mambo Magufuli atayashughulikia haraka ni maslai ya walimu... ikiwemo kuwaongeza mishahara na posho na hii itakuwa maalum kwa Walimu!
Tafadhali mpeni kura zote!

Cc Evelyn Salt!

aaah wapi....kikwete alishaondoka na imani yangu tayari
siamini kiongozi yoyote CCM
 
Last edited by a moderator:
Unajua akili yetu wa tz ni kudhan kila kitu kinakuja kwa gafla hasa masuala ya mfumo na maendeleo. Kwa fikra za haraka utasema ccm wakitoka mambo yatakuwa sawa. Si kweli itachukua hata 10 to 15 yrs kila kitu kurudi vizuri. Matatizo ya mishahara, ajira, malimbikuzo, deni la taifa halijaanza jana wala leo. Hata nchi kubwa dunian wanachangamoto hizo hizo. So si rahisi vyote vikawa sawa kwa stail hiyo. Kwa mtumishi wa umma mshahara tu haukutoshi kutokana na mabadiliko ya dunian. Fikiria njia mbadala hata kuwa na bness za ziada kuliko kudhan utakidhiwa kila kitu na gov. Kama msomi mwelewa unaetumika kwa jamii funguka kwa kutafuta maendeleo yako binafsi kuliko kudhan siasa ndio itakupa utajirisho.
 
unajua akili yetu wa tz ni kudhan kila kitu kinakuja kwa gafla hasa masuala ya mfumo na maendeleo. Kwa fikra za haraka utasema ccm wakitoka mambo yatakuwa sawa. Si kweli itachukua hata 10 to 15 yrs kila kitu kurudi vizuri. Matatizo ya mishahara, ajira, malimbikuzo, deni la taifa halijaanza jana wala leo. Hata nchi kubwa dunian wanachangamoto hizo hizo. So si rahisi vyote vikawa sawa kwa stail hiyo. Kwa mtumishi wa umma mshahara tu haukutoshi kutokana na mabadiliko ya dunian. Fikiria njia mbadala hata kuwa na bness za ziada kuliko kudhan utakidhiwa kila kitu na gov. Kama msomi mwelewa unaetumika kwa jamii funguka kwa kutafuta maendeleo yako binafsi kuliko kudhan siasa ndio itakupa utajirisho.

naona unawatania watumishi wa umma wasipokujibu nitawashangaa sana msimwache huyu mshushieni nondo mnateseka bure kwa kuwa na watu kama hawa
 
Watumishi wenzangu wa umma bila kujali cheo wala ngazi ya mshahara,bila kujali ni permanent and pensionable ama ni mkataba,nawaalika hapa ili tujadili na kukubaliana kuhusu hatma yetu Octoba 25.

Katika mjadala wetu tujadili juu ya mazingira ya kazi kwa ujumla ikiwa pamoja na stahiki zetu.Kwa kuanzia tu niseme mimi kama afisa mwandamizi wa serikali naona watumishi tuna changamoto nyingi sana ambazo zimekosa majibu na utatuzi.Mojawapo ikiwa ni gap kati ya maslahi yetu na wanasiasa.

Wanasiasa wanakula nchi mpaka mbegu.Mfano ni ukata uliokumba ofisi zetu mwaka huu,lakini unaweza kusikia mamilioni na mabiliöi kuhonga wanasiasa.Mnasemaje kuhusu PAYE kwenye mishahara ukilinganisha na misamaha ya kodi kwa makambuni makubwa ya kibiashara. Watumishi wenzangu mnasemaje kuhusu wanasiasa kuwa ndio kila kitu nchi kiasi cha taaluma zetu kuwa dumped.

Mfano mzuri ni jinsi bajeti ilivyovurugwa mwaka wa fedha uliopita na unaoendelea.Watumishi bunge la katiba halikuwa kwenye bajeti na pesa zimetafunwa.Mambo ya maabara yamekwapua Grants zote na Mapato ya Ndani.

Unajua hujalipwa stahili zako ngapi kutokana na lack of budget displine?Sasa ndugu watumishi tunafanyaje Oct 25?Ni kweli CCM bado inatosha?

Tujadili hapa.
Cha kwanza cha kuwafahimisha watumishi wa umma ni kuwa ccm sio serikali. Ccm ni chama. Watumishi wamejiriwa na serukali sio chama.
Nawashangaa polisi, usalama wa taifa, jeshi wako busy kuilinda ccm kama vile ndio mwajiri wao. Angalia sakata la wilbroad slaa alisindikizwa na watu wa usalama kwa faida ya nani. Ccm? Ni lini wataelewa? Polisi wako busy kukamata kina madha kwa amri za kutoka ccm wao wansema juu, hadi lini? Hawajui chama kingine kikiingia madarakani watakitumikia. Hela nyingi zinatumika kwenye mambo ya chama.
 
Unajua akili yetu wa tz ni kudhan kila kitu kinakuja kwa gafla hasa masuala ya mfumo na maendeleo. Kwa fikra za haraka utasema ccm wakitoka mambo yatakuwa sawa. Si kweli itachukua hata 10 to 15 yrs kila kitu kurudi vizuri. Matatizo ya mishahara, ajira, malimbikuzo, deni la taifa halijaanza jana wala leo. Hata nchi kubwa dunian wanachangamoto hizo hizo. So si rahisi vyote vikawa sawa kwa stail hiyo. Kwa mtumishi wa umma mshahara tu haukutoshi kutokana na mabadiliko ya dunian. Fikiria njia mbadala hata kuwa na bness za ziada kuliko kudhan utakidhiwa kila kitu na gov. Kama msomi mwelewa unaetumika kwa jamii funguka kwa kutafuta maendeleo yako binafsi kuliko kudhan siasa ndio itakupa utajirisho.

Sawa. Lakini ccm iondoke tu, maendeleo yatakuja kwa kubadilisha vyama. Sio chama kimoja milele, ikiwa hivyo uchaguzi wa nini!?
 
Msisahau kwamba ninyi ni sehemu ya serikali inayotajwa kufeli mkaanza kujiweka kando!
 
Waalimu wote nchi nzima walio ajiliwa 2011 walitakiwa kupanda daraja mwaka jana mpaka leo hawajapanda, wengine wamepewa barua kudanganywa kuwa wamepandishwa daraja lakini hakuna mabadiliko kwenye mshahara. Hiyo ni mbali na wale wa 2010 ambao wengi wao bado hawajapanda

Nimemshanga huyo b.wege anayepayuka eti waalimu hawadai chochote!

Swala la kupandisha watumishi vyeo ni tatizo kubwa na la kukatisha tamaa sana.
 
Unajua akili yetu wa tz ni kudhan kila kitu kinakuja kwa gafla hasa masuala ya mfumo na maendeleo. Kwa fikra za haraka utasema ccm wakitoka mambo yatakuwa sawa. Si kweli itachukua hata 10 to 15 yrs kila kitu kurudi vizuri. Matatizo ya mishahara, ajira, malimbikuzo, deni la taifa halijaanza jana wala leo. Hata nchi kubwa dunian wanachangamoto hizo hizo. So si rahisi vyote vikawa sawa kwa stail hiyo. Kwa mtumishi wa umma mshahara tu haukutoshi kutokana na mabadiliko ya dunian. Fikiria njia mbadala hata kuwa na bness za ziada kuliko kudhan utakidhiwa kila kitu na gov. Kama msomi mwelewa unaetumika kwa jamii funguka kwa kutafuta maendeleo yako binafsi kuliko kudhan siasa ndio itakupa utajirisho.

We are fed up!
 
Mimi ni mtumishi wa Umma ila kura yangu kwa Lowasa . Nikikumbuka ile hotuba ya mkuu alipozungumza na wazee wa Dar es Salaam alivyoponda madai ya watumishi wa Umma akasema kuwa hayatekelezeki kama hatutaki tuache kazi. Naona watumishi wenzangu mmesahau mm sijasahau kbs. Tena kama Boban Okwi Sunzu unayo hy audio ys hotuba iweke humu ili watumishi wa umma wajikumbushe vile vijembe vya siku ile. Mi Ukawa mbele kwa mbele. Mabadiliko daima!!!!
 
Back
Top Bottom