Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

kama umeshindwa kazi basi ondoka.hatuwezi kuacha kuwapa pesa watu kama dr silaa na professpr lipumba kutufanyia kazi ya kumudhibiti lowasa halafu tukufikilie wewe.ccm hatuko tayari kuachia dola kiraisi hivyo.unajua kabisa watu kama dr silaa na lipumba si watu wakuwapa billion moja au mbili lazima tutumie pesa nyingi ili kuhakikisha lowasa tunamdhibiti.hatutaki mtu wa kaskazini kushika uraisi

nimekuelewa sana mkuuu big up
 
Kwa upande wangu naona sina cha kupoteza,huyu mkwere anaye maliza mda wake kabla hajaingia madarakani watanzania tulikuwa tunampenda na kumwamini zaidi ya huyo John,lakini alipochanguliwa kila mtu ameona alichotufanya.nasema hivi ccm siwapi kura yangu labda mniuwe.
 
ngoja nikupe darasa unaonekana hujui kitu.taarifa za madai ya walimu hutumwa na halmashauri kwenda wizarani kama List tu bila viambatanisho,hila linafanyika baada ya idara ya elimu halmashauri kuhakiki kwa kina kwa ushirikiano na CWT,hivyo kwa madai yasiyostahili hukataliwa kabla list haijaenda wizarani.Sasa hao waliosema madai ni famba wanapata wapi ujasiri huo wakati wanapokea list tu?kwa nini hawajarudisha taarifa halmashauri kujiridhisha kwa documents za maombi?walimu huu mwaka wenu chinja hawa c.c
Evelyn Salt,kamanda nifah

mi nimeishia kumshangaa tu, kwamba tusingizie madai ili?
yani ye kurekebishiwa perdiem anaona kaula, wakati hiyo perdie yenyewe kwa walimu inatolewa sivo
unaeza enda safari afu unakadiriwa tu pesa na ukiuliza unaambiwa ndo hela iliotoka halmashauri
mwaka huu mabadiliko tu hatutaki USHEMEJI na mtu
 
Kwa upande wangu naona sina cha kupoteza,huyu mkwere anaye maliza mda wake kabla hajaingia madarakani watanzania tulikuwa tunampenda na kumwamini zaidi ya huyo John,lakini alipochanguliwa kila mtu ameona alichotufanya.nasema hivi ccm siwapi kura yangu labda mniuwe.
Afu pale jangwani akasema mnaouliza nimewaachaje, nimewaachia mama samia
sijui huyo samia ni chakula au nini teh
 
Watumishi wenzangu wa umma bila kujali cheo wala ngazi ya mshahara,bila kujali ni permanent and pensionable ama ni mkataba,nawaalika hapa ili tujadili na kukubaliana kuhusu hatma yetu Octoba 25.

Katika mjadala wetu tujadili juu ya mazingira ya kazi kwa ujumla ikiwa pamoja na stahiki zetu.Kwa kuanzia tu niseme mimi kama afisa mwandamizi wa serikali naona watumishi tuna changamoto nyingi sana ambazo zimekosa majibu na utatuzi.Mojawapo ikiwa ni gap kati ya maslahi yetu na wanasiasa.

Wanasiasa wanakula nchi mpaka mbegu.Mfano ni ukata uliokumba ofisi zetu mwaka huu,lakini unaweza kusikia mamilioni na mabiliöi kuhonga wanasiasa.Mnasemaje kuhusu PAYE kwenye mishahara ukilinganisha na misamaha ya kodi kwa makambuni makubwa ya kibiashara. Watumishi wenzangu mnasemaje kuhusu wanasiasa kuwa ndio kila kitu nchi kiasi cha taaluma zetu kuwa dumped.

Mfano mzuri ni jinsi bajeti ilivyovurugwa mwaka wa fedha uliopita na unaoendelea.Watumishi bunge la katiba halikuwa kwenye bajeti na pesa zimetafunwa.Mambo ya maabara yamekwapua Grants zote na Mapato ya Ndani.

Unajua hujalipwa stahili zako ngapi kutokana na lack of budget displine?Sasa ndugu watumishi tunafanyaje Oct 25?Ni kweli CCM bado inatosha?

Tujadili hapa.


Umesahau kuwakumbusha watumishi wenzio kufanyakazi zenu inavyotakiwa maanake huko serikalini na taasisi zake ndio kumeoza balaa....mnafanyakazi kama mnatoa favor tu na sio wajibu! Wajibikeni sio kudai maslahi tu!
 
MAGUFULI nimtendaji mzuri ila alipo kaa ndio pachafu yaani CCM.
LOWASSA ni mtendaji mbovu na hafai ila alipokaa ndio pasafi yaani CDM.
Wengi wanamchagua LOWASSA kwasababu ya cdm cuf na nccr lakini siyo kwa uzri wa kazi zake lowassa
MAGUFULI anasimama yeye kama yeye kwa uzuri na usimamizi wake mzuri wa kazi nasio chama chake

Hamna usafi wowote hapo....wachumia tumbo tu!
 
Tuna imani na Magufuli atashughulikia maswala hayo yote usijali mtumishi we mpe kura tuu yule mtendaji

Hakuna sababu ya kumpa kura Magufuli, maana huku mtaani wanapita wanampigia kampeni na nyimbo yao 'ccm ni ileile ohhh ni ileileee' kwa hiyo tukimchagua mambo ni yaleyale. Waondoke tu.
 
hakili kichwani kwenu.angalieni kati ya magufuli na mr clean LOWASA nani anafaa.mkifanya makosa imekula .
 
Ukiondoa unyonyaji wa PAYE ambao watumishi umewakandamiza mpaka kuamua kusema NO CCM,pia kuna kutokuwepo kwa usawa ktk mishahara.Ndugu zangu walimu na askari mweee hadi huruma wapo hoi.Kuepuka haya yote ni HAPANA CCM oct 25.
 
Mabadiliko tunayotaka ni ya kubadili chama na mfumo wake mbovu,mwaka huu Ukawa,wasipofanya vizuri , mwaka unaokuja tunachagua mwingine na ndio maana ya vyama vingi na pia uchaguzi,wakikoroga wanaondolewa kama tunavyowaodoa ccm this year,wapumzike.
 
Nikiwa km mfanyakazi wa serikali,ninaichukia CCM na sikuwahi kufikiri katika maisha yangu kuwa nitakuja kukichukia chama chochote hivi.
Naamini mwisho wa ccm ni oktoba hii
 
Back
Top Bottom