Watumishi tumechoka kuhakikiwa

Watumishi tumechoka kuhakikiwa

KAMA UKO VIZURI NA UNAJIAMINI WASIWASI WA NINI? HATA IKICHUKUA MWAKA KUHAKIKI NI POA TU. AU WEWE ULIINGIZWA HAPO KAZINI KWA MLANGO WA NYUMA
Usiendelee kutia hasira walioko home we mama,kwani kuna sehemu mleta uzi kakataa uhakiki kufanyika?
 
Mambo bado jamani tuvumilie huu mchezo hauhitaji hasira!!

Uhakiki unaofuata ni kujua Kama mfanyakazi mke au mume aliyenaye ni wake kweli au fake.

Halafu Uhakiki watoto wa mfanyakazi ili tujue wake kweli au kabambikiwa tuu.Hapo sasa naona tutapelekwa kwa mkemia Mkuu wa serikali kupima D.N.A.

Mambo haya yanaenda kwa vipaumbele. Kipaumbele cha Taifa kwa sasa ndo hiki.
Ha ha ha
 
Wakuu habari za J'mosi..

Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!

Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;

1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?

Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.

2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?

Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).

Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.

Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
Acheni kazi. Huu ni utaratibu mpya, ebo!
 
Subiria mambo mazuri yanakuja ngoja azalishe ajira nyingi kwanza kuliko kuharakisha kutoa ajira alafu zikawa chache.
Tena namshauri na wale RAIA wakigeni wanaofanya kazi ambazo watanzania wanaweza kufanya nao waondolewe wanaziba nafasi za wazawa kama ni Foreigner basi awe ni expart
 
kama wakitangaza watu wanao taka kustaafu hata kabla ya muda kufika mimi nitakuwa wa kwanza. sioni faida ya kufanyakazi huku hulipwi stahiki zako. watu wamepandishwa madaraja lakini bado wanalipwa mishahara ya mwaka 2010! kimsingi binafsi nimechoka kuwa mtumishi wa serikali. uhakiki gani unachukua miezi mitano? ni bora kila mkuu wa mkoa angeteua siku moja tu watumishi wote wa serikali wahakikiwe dirishani ili mbivu na mbichi zijulikane. kisingizio cha watumishi hewa kimetuchosha labda tuseme wanao tuhakiki hawana maarifa ya uhakiki watumishi.
 
Sio tumechoka kunyanyaswa sema nimechoka kunanyaswa mmechoka na nani? Wacha wahakiki hata mara kumi kwa maslahi ya Taifa, Taifa kwanza ubinafsi baadae.
 
Subiria mambo mazuri yanakuja ngoja azalishe ajira nyingi kwanza kuliko kuharakisha kutoa ajira alafu zikawa chache.
Tena namshauri na wale RAIA wakigeni wanaofanya kazi ambazo watanzania wanaweza kufanya nao waondolewe wanaziba nafasi za wazawa kama ni Foreigner basi awe ni expart
Are you serious!!!
 
Hebu leteni maoni na mapendekezo yenu nn kifanyike mm nitayafiskisha kwenye ofisi husika ili yafanyiwe kazi
 
Siasa zina mambo mengi sana, akija raisi mwingine naye anang'oa mfumo unaowekwa sasa hivi na sababu itakuwa ni mfumo wa majizi na wapiga dili. Nadhani kwenye nchi za wanajitambua mifumo inakuwa professionally established na hakuna mbwembwe za kupambana na watu ambao hawakukupigia kura kama nchi zetu hizi.

Nakubaliana na wew na hili nitatizo kubwa sana. LABDA huyu anaweza akapendà kujijengea heshima akatuletea rasimu ya pili ya warioba. ingawàje kwa muonekano wake sidhani. ila hili la vyeti nampokeza sana.
 
Mkuu hao unaosema watumishi hewa tayari walishahakikiwa zamani na hiyo mishahara ilikuwa inarudi hazina toka miaka ya nyuma.Kinachofanyika sasa hivi ni kutaka kiki za kisiasa, kwa kweli inaboa..morali ya watumishi wa umma imeshuka kutokana na zoezi hili kufanywa kisiasa.Kama wewe si mtumishi wa umma utafurahi na kukoment hovyo.Ukweli utumishi wa umma umekuwa punching box.
Morali ya kazi imepotea kabisa, imebaki kusaini tu na kupiga story
 
Wana JF tusubiri mwaka 2020 sio mbali sisi ndyo tutakuwa mabosi atatupigia magoti atatamani arudi chekechea. Na yeye lazima tumtumbue
Hata 2020 hakutabadilika kitu, anaowateua wote anajitayarishia mazingira mazuri ya bao la mkono.... Hakutakua na jipya
 
Hakuna aliyewatuma kufOji vyeti. Tulieni mtumbuliwe. Usanii ulizidi kila mahali. bora tuchelewe kuanza safari ila tuianze tukijua gari imefanyiwa service
 
Wakuu habari za J'mosi..

Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!

Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;

1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?

Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.

2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?

Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).

Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.

Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
Acha kuweweseka kijana kama na wew ni hewa ulijua umepona bado tunakusaka
 
Hakuna fedha sera ya elimu bure imewachanganya, watoto wakawa wengi bure bure sasa imeikwamisha serikali
 
Back
Top Bottom