Watumishi tumechoka kuhakikiwa

Watumishi tumechoka kuhakikiwa

Tunashukuru zoezi hili lirudiwe ;mara ya kwanza lilifanyika kimizengwe chini ya Wakurugenzi watiifu kwa Edo.

Tunaomba wakurugenzi wapya wahakiki upya , Chini ya Magufuri.

Tuhakikiwe vyeti na nafasi tulizonazo kama kweli zinaendana na level ya Elimu.

Ata iwe miezi 6 ; hAKI ITENDEKE

WAKURUGENZI WAHAKIKI VYEO VYA WATUMISHI NA MISHAHARA INAENDANA NA TAALUMA ZAO.
 
inakera sana na inaashiria ni namna gani watumishi wa uma tanadharirika na viongoz wa kisiasa wana Uhuru wa kutunyanyasha na kuvunja sheria, hivi kwan polisi sio watumishi wa uma? Mbona vyeo wamepanda!? What about us? Hivi TUCTA inafanya kazi gani maana wananitia hasira tu, hata increment jamani?? Haya mambo yanatia kichefu chefu sana
umeandika point mkuu
 
Mkuu hata wakuu wa Wilaya na wakurugenzi waliteuliwa mtu mmoja Mara mbili mbili,ninachoamini watumishi wa umma wana hasira na chuki sana sasa,wanasubiri wa kuwakusanya ili wafanye kitu kimoja cha ajabu sana
 
Watumishi wa umma ni wanyonge wa JPM. Atawatesa hadi mshike adabu.
 
Wakuu habari za J'mosi..

Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!

Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;

1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?

Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.

2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?

Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).

Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.

Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
KAMA UKO VIZURI NA UNAJIAMINI WASIWASI WA NINI? HATA IKICHUKUA MWAKA KUHAKIKI NI POA TU. AU WEWE ULIINGIZWA HAPO KAZINI KWA MLANGO WA NYUMA
 
inakera sana na inaashiria ni namna gani watumishi wa uma tanadharirika na viongoz wa kisiasa wana Uhuru wa kutunyanyasha na kuvunja sheria, hivi kwan polisi sio watumishi wa uma? Mbona vyeo wamepanda!? What about us? Hivi TUCTA inafanya kazi gani maana wananitia hasira tu, hata increment jamani?? Haya mambo yanatia kichefu chefu sana
Police inafaida kwao
 
Wakuu habari za J'mosi..

Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!

Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;

1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?

Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.

2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?

Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).

Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.

Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
Usisahau kwamba ni watumishi hao hao laki 6 unayoisema kwa miaka zaidi ya 10 wamekuwa wakiibia serikali kwa namna moja ama nyingine na kuikosesha serikali mabilioni ya pesa. Uhakiki umechukua miezi tu mnalalama. Eleweni gravity ya jambo hili lazima kuwachunguza wezi wajulikane wawajibishwe!
 
Du! Kama haya yote aliyofanya Mkubwa we hujayaona basi hutaona hata akikupandisha cheo. Pia ikumbukwe kuing'oa system iliyojengwa tangu enzi hizo sio kazi ndogo lazima wenye upeo mdogo watamlaumu tu.
 
Kwa kweli watumishi wa umma tuna madai mengi lkn kila siku wanakwambia jaza form...bado yanahakikiwa uhakiki gani usiokwisha? Kigumu ni nini hapo? Sasa tunazisoma namba za siri....

Watu mna mambo, eti tunazisoma namba za siri, - kwa hiyo namba za kawaida tumeshazisoma na kuzimaliza, tumeanza kusoma za siri sasa.
 
Wakuu habari za J'mosi..

Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!

Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;

1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?

Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.

2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?

Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).

Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.

Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...

KIPINDI KILE KULIKUWA BADO NA WAKUU WA MIKOA WA KIKWETE AMBAO NI VIONGOZI DHAIFU WASIOAMINIKA KUSIMAMIA MASLAI MAPANA YA TAIFA, TULIKUWA BADO TUNA WAKUU NA WAKURUGENZI WA WILAYA WA KIKWETE AMBAO NI MAJIZI NA DHAIFU WASIOAMINIKA AMBAPO HATA WAO WENYEWE WALICHAGULIWA KIMASLAI YA KIKWETE KUTOKANAA NA MTANDAO WA WAUZA VYEO PALE UTUMISHI.

SASA TUMEUNDA SEREKALI YETU MADHUBUTI KWA KUSAINISHA MIKATABA, USIPOTEKELEZA TULIOKUAGIZA TUNAKUMWAGA. SASA WAO TUMEWAHAKIKI NA WANA MASTERS ZA JASHO LAO. NA WAMEPITIA MICHUJIO MBALIMBALI, KWA NINI WEWE USIKAGULIWE? KWANINI INAKUUMA UKAGUZI HUU MAKINI NA WAMARUDIO? LAZIMA UCHEKECHWE TENA UKIBAKI MAANA YAKE NAWE HUKUTUMIA NJIA YA MKATO KIMASOMO.

MAGUFULI KAZA BUTI KWA HILI TUKO PAMOJA.
 
mkuu.

uhakiki lazima ufanyike...

nashukuru unaelewa kwamba yapo madai mengi ya walimu na wafanyakazi wengine ya posho ya likizo au uhamisho....
ni afadhari uhakiki ufanyike kuepuka kuwalipa wafanyakazi hewa au wasio na vigezo

Huo ni upande mmoja wa habari kuwa watu wasiibie serikali pesa ambazo hawastahili kulipwa ila je na kwa wale waliopaswa kupandishwa madaraja ili na maslahi yao yaongezeke? Huoni hapa ni serikali inamwibia mtumishi wa umma?
 
Daima tumechoka,serikali inatuona sisi watumishi wa umma kama vinyago,tunadhalilishwa huku wanasiasa hawagusw,kwan haya ya ufisad ulianzia kwa wanasiasa,huku watumishi wakaachwa na hali duni ya mazingira ya kufanyia kaz,mshahara mdogo huku wanasiasa wakijipatia pesa kwa njia haramu!Baada ya hapo watumishi wa umma nao wakaanza kuifisid nchi,leo hii wamekuwa maadui wa serikali ya awamu ya tano,huku wanasiasa waliokuwa wanaitumia ikulu na nje ya ikulu hawaguswi.2020 watumishi wa umma tokeni mpige kura tumechoka kunyanyaswa.
 
KIPINDI KILE KULIKUWA BADO NA WAKUU WA MIKOA WA KIKWETE AMBAO NI VIONGOZI DHAIFU WASIOAMINIKA KUSIMAMIA MASLAI MAPANA YA TAIFA, TULIKUWA BADO TUNA WAKUU NA WAKURUGENZI WA WILAYA WA KIKWETE AMBAO NI MAJIZI NA DHAIFU WASIOAMINIKA AMBAPO HATA WAO WENYEWE WALICHAGULIWA KIMASLAI YA KIKWETE KUTOKANAA NA MTANDAO WA WAUZA VYEO PALE UTUMISHI.

SASA TUMEUNDA SEREKALI YETU MADHUBUTI KWA KUSAINISHA MIKATABA, USIPOTEKELEZA TULIOKUAGIZA TUNAKUMWAGA. SASA WAO TUMEWAHAKIKI NA WANA MASTERS ZA JASHO LAO. NA WAMEPITIA MICHUJIO MBALIMBALI, KWA NINI WEWE USIKAGULIWE? KWANINI INAKUUMA UKAGUZI HUU MAKINI NA WAMARUDIO? LAZIMA UCHEKECHWE TENA UKIBAKI MAANA YAKE NAWE HUKUTUMIA NJIA YA MKATO KIMASOMO.

MAGUFULI KAZA BUTI KWA HILI TUKO PAMOJA.

Siasa zina mambo mengi sana, akija raisi mwingine naye anang'oa mfumo unaowekwa sasa hivi na sababu itakuwa ni mfumo wa majizi na wapiga dili. Nadhani kwenye nchi za wanajitambua mifumo inakuwa professionally established na hakuna mbwembwe za kupambana na watu ambao hawakukupigia kura kama nchi zetu hizi.
 
Usisahau kwamba ni watumishi hao hao laki 6 unayoisema kwa miaka zaidi ya 10 wamekuwa wakiibia serikali kwa namna moja ama nyingine na kuikosesha serikali mabilioni ya pesa. Uhakiki umechukua miezi tu mnalalama. Eleweni gravity ya jambo hili lazima kuwachunguza wezi wajulikane wawajibishwe!
Mkuu hao unaosema watumishi hewa tayari walishahakikiwa zamani na hiyo mishahara ilikuwa inarudi hazina toka miaka ya nyuma.Kinachofanyika sasa hivi ni kutaka kiki za kisiasa, kwa kweli inaboa..morali ya watumishi wa umma imeshuka kutokana na zoezi hili kufanywa kisiasa.Kama wewe si mtumishi wa umma utafurahi na kukoment hovyo.Ukweli utumishi wa umma umekuwa punching box.
 
Back
Top Bottom