Tucta bado ipo kweliinakera sana na inaashiria ni namna gani watumishi wa uma tanadharirika na viongoz wa kisiasa wana Uhuru wa kutunyanyasha na kuvunja sheria, hivi kwan polisi sio watumishi wa uma? Mbona vyeo wamepanda!? What about us? Hivi TUCTA inafanya kazi gani maana wananitia hasira tu, hata increment jamani?? Haya mambo yanatia kichefu chefu sana
Ndio maana mliambiwa mmeishiwa pumzi.Hamuwezi kufikiri njia mbadala za kupata hela ili kuendesha nchi badala yake mnawaza kubana vihela vya watu wengine ili mpate pa kutokea.Ovyo kabisa.Watenge au watubane ni sawa mrad ndege inunuliwe
Kama unaona usumbufu basi acha kazi.Wakuu habari za J'mosi..
Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!
Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;
1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?
Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.
2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?
Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).
Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.
Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
Acha kazi. Wengine hatuna kazi. Tuachie hiyo.Wakuu habari za J'mosi..

Na pia amesimamisha ajira na bado yeye anaajiri kvyakeinakera sana na inaashiria ni namna gani watumishi wa uma tanadharirika na viongoz wa kisiasa wana Uhuru wa kutunyanyasha na kuvunja sheria, hivi kwan polisi sio watumishi wa uma? Mbona vyeo wamepanda!? What about us? Hivi TUCTA inafanya kazi gani maana wananitia hasira tu, hata increment jamani?? Haya mambo yanatia kichefu chefu sana
Wakuu habari za J'mosi..
Kuna jambo linanishangaza kidogo kuhusu utendaji kazi wa hii awamu ya "hapa kazi tu"
Jambo lenyewe ni hili la watumishi wa serikali kutopewa stahiki zao mfano malimbikizo ya mshahara,kupandishwa vyeo,kulipwa likizo,kuajiliwa kwenye utumishi wa umma n.k kwa sababu ambayo ni "very minor" eti uhakiki wa watumishi hewa!!
Miongoni mwa maswali nayojiuliza ni haya;
1.Mh. Alipoingia alianzisha hili zoezi mpaka kufikia watumishi waliopo masomoni walirudi kwenye vituo vyao vya kazi ili kuhakikiwa,ilifikia mpaka baadhi ya viongozi na watumishi wengine wa halmashauri walitumbuliwa sababu ya kukwamisha zoezi hili,hivi ukaguzi ule ulitekelezwa kwa kukurupuka?Hatuwezi kusimamia jambo kiukamilifu mpaka kurudia rudia?
Najiuliza hayo maana watumishi na wanaosubiri ajira utumishi wa umma wanateseka kwa kukosa stahili zao kama nilivyoeleza hapo awali kwa sababu zisizo na tija.
2.Kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia,rasilimali watu/wataalam wa IT tuliona na kwa idadi ya watumishi wa umma ni kweli serikali imeshindwa kufanya haya kwa wakati mmoja?yani kuhakiki waliopo na kuajili wapya?
Tanzania ina idadi ya watumishi wa umma wasiozidi laki sita(kama sijakosea),kweli tumeshindwa kuhakiki idadi hiyo kwa muda mfupi mpaka program ichukue muda muda mrefu hv?Ni kheri wale wataalam wa Rwanda wake basi kutusaidia,ili haki za watumishi zipatikane haraka(Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini).
Isije kua serikali inafanya haya kiujanja ujanja pale bajeti ya kuwalipa watumishi inapokua finyu na kutumia sababu za watumishi hewa na uhakiki ili kupata muda wa kujipanga,maana kama kweli ni uhakiki zoezi lisingeenda slow hivi kama nilivyoeleza hapo juu #2.
Karibu tujadili kwa pamoja,tokwa povu ila usitukane...
Kama umechoka acha kazi
Nahisi imekufa, si kwa kimya hiki DuhTucta bado ipo kweli
Wana JF tusubiri mwaka 2020 sio mbali sisi ndyo tutakuwa mabosi atatupigia magoti atatamani arudi chekechea. Na yeye lazima tumtumbueKwa kweli watumishi wa umma tuna madai mengi lkn kila siku wanakwambia jaza form...bado yanahakikiwa uhakiki gani usiokwisha? Kigumu ni nini hapo? Sasa tunazisoma namba za siri....
Na kupandisha vyeoNa pia amesimamisha ajira na bado yeye anaajiri kvyake
kweli mkuu. mm nimemkumbuka sana tena sanaJ.K alisema Mnaniona mbaya ila mtanikumbuka sasa tushaanza kumkumbuka
Acha kutisha watu haya ni mawazo yake. We unataka aseme kinachokupendeza wew. We vip! uKwa maelezo yako tu nimegundua kuwa Wewe siyo Mtumishi wa Serikali halafu nakusihi tu Ndugu acha KUTUMIKA.
ukiwa kibaraka wa kijani hata uwezo wa kufikiri unapungua sana. Unakuwa mr/miss YES.Kama unaona usumbufu basi acha kazi.