Watumishi hewa 169 wagundulika mkoani Kigoma

Kwa anaejua:Huyu amestaafu jeshi??Na kama bado Je akifujuzwa mkuu wa mokoa anabakia ni jeshi?Na je anapata mshahara wa jeshi na wa mkuu wa mkoa???au ni Jeshi amabae kituo chake cha kazi ni cha mkuu wa mkoa hivyo anabakia pale pale kua ni mwajiriwa wa jeshi?
 
Kwa

Kwa nijuavyo huyo ameshastaafu but mjesh ni mjesh tu
 
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mjeda dadadeki lazima Heshima irudi na ukaidi uishe, uzuri wa Wajeda ni kwamba wao hufundishwa uaminifu na utii tu siku zote!

1.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zote kutaja kiasi cha fedha kilichotumika kuwalipa mishahara watumishi hewa 169 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Akiongea na waandishi wa habari, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga alisema kuwa agizo hilo ni kufuatia agizo la Mheshimwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli la kufanya uhakiki wa watumishi katika halmashauri zote ili kuwabaini watumishi hewa wanaolipwa mishahara kinyume na utaratibu za utumishi.
Alisema katika hao watumishi hewa 169 waliowabainika wapo ambao walishafukuzwa kazi, wapo ambao wameshafariki na wengine hawana sifa za kuwa watumishi wa umma.

Mhe. Maganga alisema kuwa suala la kuwa na wafanyakazi hewa ni wizi ambao hauwezi kuvumilika na wizi wa kuibia wanyonge hauwezi kuvumilika.
"Hakuna anayeweza kuvumilia wizi wa waziwazi kiasi hiki unaofanywa na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu, wale wote watakaobainika wajiandae kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao"Alisema Maganga.

Alisema kuwa fedha walizokuwa wakilipwa watumishi hao hewa kwaajili ya mishahara zinatakiwa kurudi zote, pia wakurugenzi wawafute watumishi hao hewa kwenye orodha ya malipo.
Mkuu huyo wa Mkoa alisema kuwa sasa hivi katika serekali hii ya awamu ya tano hakuna kufanya kazi kwa mazoea.
Alizitaja halmashauri zenye watumishi hewa kuwa ni halmashauri ya kasulu watumishi 78,halmashauri ya Kigoma 23,Manispaa ya Kigoma Ujiji 29,halmashauri ya Buhigwe 11,Uvinza 19,kibondo 5,ofisi ya Mkuu wa Mkoa 4 na halmashauri ya Kakonko hakuna mtumishi hewa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] walah utawala wa magu wateuliwa watavaa hata vyupi kichwani... na kutumbuliwa watatumbuliwa maana hawajamsoma anagaka nn
 
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mjeda dadadeki lazima Heshima irudi na ukaidi uishe, uzuri wa Wajeda ni kwamba wao hufundishwa uaminifu na utii tu siku zote!

1.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zote kutaja kiasi cha fedha kilichotumika kuwalipa mishahara watumishi hewa 169 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Akiongea na waandishi wa habari, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga alisema kuwa agizo hilo ni kufuatia agizo la Mheshimwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli la kufanya uhakiki wa watumishi katika halmashauri zote ili kuwabaini watumishi hewa wanaolipwa mishahara kinyume na utaratibu za utumishi.
Alisema katika hao watumishi hewa 169 waliowabainika wapo ambao walishafukuzwa kazi, wapo ambao wameshafariki na wengine hawana sifa za kuwa watumishi wa umma.

Mhe. Maganga alisema kuwa suala la kuwa na wafanyakazi hewa ni wizi ambao hauwezi kuvumilika na wizi wa kuibia wanyonge hauwezi kuvumilika.
"Hakuna anayeweza kuvumilia wizi wa waziwazi kiasi hiki unaofanywa na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu, wale wote watakaobainika wajiandae kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao"Alisema Maganga.

Alisema kuwa fedha walizokuwa wakilipwa watumishi hao hewa kwaajili ya mishahara zinatakiwa kurudi zote, pia wakurugenzi wawafute watumishi hao hewa kwenye orodha ya malipo.
Mkuu huyo wa Mkoa alisema kuwa sasa hivi katika serekali hii ya awamu ya tano hakuna kufanya kazi kwa mazoea.
Alizitaja halmashauri zenye watumishi hewa kuwa ni halmashauri ya kasulu watumishi 78,halmashauri ya Kigoma 23,Manispaa ya Kigoma Ujiji 29,halmashauri ya Buhigwe 11,Uvinza 19,kibondo 5,ofisi ya Mkuu wa Mkoa 4 na halmashauri ya Kakonko hakuna mtumishi hewa.
Wakuu naomba mnisaidie ufafanuzi, hivi hawa wakuu wa mikoa wajeda ni wastaafu au bado ni watumishi? Pili kama ni wastaafu huwa wanaaruhusiwa kuendelea kuvaa magwanda kwa mda gani? au Masharti gani? Maana niliona hata siku ya kuapishwa wapo waliokuwa wamevaa ingawa sijui kuwa ni wajeda wote (wale walioteuliwa kuwa wakuu wa mikoa? walivaa au baadhi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zote kutaja kiasi cha fedha kilichotumika kuwalipa mishahara watumishi hewa 169 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Akiongea na waandishi wa habari, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga alisema kuwa agizo hilo ni kufuatia agizo la Mheshimwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli la kufanya uhakiki wa watumishi katika halmashauri zote ili kuwabaini watumishi hewa wanaolipwa mishahara kinyume na utaratibu za utumishi.

Alisema katika hao watumishi hewa 169 waliowabainika wapo ambao walishafukuzwa kazi, wapo ambao wameshafariki na wengine hawana sifa za kuwa watumishi wa umma.

Mhe. Maganga alisema kuwa suala la kuwa na wafanyakazi hewa ni wizi ambao hauwezi kuvumilika na wizi wa kuibia wanyonge hauwezi kuvumilika.

"Hakuna anayeweza kuvumilia wizi wa waziwazi kiasi hiki unaofanywa na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu, wale wote watakaobainika wajiandae kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao"Alisema Maganga.

Alisema kuwa fedha walizokuwa wakilipwa watumishi hao hewa kwaajili ya mishahara zinatakiwa kurudi zote, pia wakurugenzi wawafute watumishi hao hewa kwenye orodha ya malipo.

Mkuu huyo wa Mkoa alisema kuwa sasa hivi katika serekali hii ya awamu ya tano hakuna kufanya kazi kwa mazoea.

Alizitaja halmashauri zenye watumishi hewa kuwa ni halmashauri ya kasulu watumishi 78,halmashauri ya Kigoma 23,Manispaa ya Kigoma Ujiji 29,halmashauri ya Buhigwe 11,Uvinza 19,kibondo 5,ofisi ya Mkuu wa Mkoa 4 na halmashauri ya Kakonko hakuna mtumishi hewa.

Chanzo: Blog ya Jamii
Hii tunaita mikwala mbuzi! Ni vitisho visivyo na maana yoyote! Ni kama mlevi aliyelewa gongo anayepayuka hovyo barabarani. Utendaji haufanywi namna hii. Angekuja na habari yenye manufaa. Listi ya watu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa ni hii, wahusika ni hawa na wamechukuliwa hatua a,b,c. Lakini Brigedia Generali wetu ametoa povu la mkwara. Akakuta na nyumbu aliyemkubali na kuja na thrfead ya mkwara zaidi!
 
Zidumu Fikra Za M/kiti Wa Chama
Ndiyo Umetufikisha Hapa
 
halafu unakuta hao wanaopiga dili ni wanachama watiifu wa ukawa wanaitia serikali hasara halafu wanakuja hapa kupiga domo kwamba serikali haijafanya lolote.
 
Hii tunaita mikwala mbuzi! Ni vitisho visivyo na maana yoyote! Ni kama mlevi aliyelewa gongo anayepayuka hovyo barabarani. Utendaji haufanywi namna hii. Angekuja na habari yenye manufaa. Listi ya watu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa ni hii, wahusika ni hawa na wamechukuliwa hatua a,b,c. Lakini Brigedia Generali wetu ametoa povu la mkwara. Akakuta na nyumbu aliyemkubali na kuja na thrfead ya mkwara zaidi!
Wew kwa akili yako unadhani kuwafaham hao watu kuna siri hapo ,mbona watajulikanactu tu mda si mrefu
 
Basi ni vizuri kukamisha kazi kabla ya kutoa ripoti. Haya mambo ya nita... ngoja tujipange... ni hadithi zilishokwisha tuchosha!
 
halafu unakuta hao wanaopiga dili ni wanachama watiifu wa ukawa wanaitia serikali hasara halafu wanakuja hapa kupiga domo kwamba serikali haijafanya lolote.
na sio wa CCM? tehtehteh
 
Back
Top Bottom