Haiwafikii na hawana habari kabisa! Kuna mtu ameakutwa na Check Number 2, ili hali hiyo ya pili haijui.Swali la kujiuliza ni kwamba hao watumishi mishahara yao inawafikia au inaishia kwa wakuu wa idara?
Wapiga hizo dili ni wengi na mikoa mingine ijitahidi kufanya hivyo kuokoa hizo hela
Kuna watu waliandika barua na kuacha kazi tangu 2008; na wengine pia walistaafu tangu 2006, wote hao mpaka sasa mshahara unatoka ila HAUWAFIKII.
Wakurugenzi n.k matumbo joto.