Msaada juu ya digital sim

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
Habari za saa hizi,

Wadau ninaomba msaada kwenu kwa wenye uzoefu juu ya hii kitu inayoitwa digital sim nimenunua simu Iphone 11 dual sim baada ya simu kunifikia nikagundua kwenye tray ya kuweka simu hamna sehem ya kuweka line ya pili lakini ina emai mbili na kwenye settings inaonesha kuna sehem ya primary sim na digital sim baada ya kuuliza nimeambiwa kuna kitu ina inaitwa digital sim ambayo inatolewa na mtandao wako bila kuhusisha physical sim card naomba msaada wadau kama huduma iyo inapatikana hapa Tanzania coz the phone is bit expensive than ya single sim
 
Ndiyo nasikia leo IPhone 11 dual sim...

Cc: mahondaw

Nilishawahi kupost uzi wa kutambulisha dual SIM kwa Iphone miaka miwili iliyopita

Iphone wame'surrender, sasa wanakuja na simu ya line mbili (dual sim)
 
Digital sim.. ni Line ambayo ni Electrical yaan sio Physical kama hizi line zingine.

Kwa ufupi science na teknolojia ilipofikia sasa inataka Smartphones zote zije bila ya kuwepo kwa sehem ya Sim card tray. So unachofanya unakuwa Una Login kama ilivyo ktk Email etc.. kila kitu kinakuwa tyr.

Tumetok ktk Standard Sim card Micro sim card mpk sas tupo ktk Nano sim card .. na tunajongea ktk E-Sim.
 
Malizia na concern ya mtoa mada, je huduma hii inatolewa na mitandao yetu hapa Tanzania?
 
Habari za saa hizi,

Wadau ninaomba msaada kwenu kwa wenye uzoefu juu ya hii kitu inayoitwa digital sim nimenunua simu Iphone 11 dual sim baada ya simu kunifikia nikagundua kwenye tray ya kuweka simu hamna sehem ya kuweka line ya pili lakini ina emai mbili na kwenye settings inaonesha kuna sehem ya primary sim na digital sim baada ya kuuliza nimeambiwa kuna kitu ina inaitwa digital sim ambayo inatolewa na mtandao wako bila kuhusisha physical sim card naomba msaada wadau kama huduma iyo inapatikana hapa Tanzania coz the phone is bit expensive than ya single sim

Sina hakika kama Tanzania tuna system hii maana nimepita kote Voda Airtel tigo na Zantel kuuliza na majibu niliyopewa ni either hatuna hio technologia bao au Ndo kitu gani hicho?

Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuwa na hii kitu hasa ukizingatia mda ambao dunia nzima inajaribu kupunguza footprint tunayoacha kwenye environment.
 
Back
Top Bottom