Mpuuzi wewe eti uzoefu miaka 10 nao ni wakuniringishia, nimeanza kuagiza parcel ebay,amazon nk kambla hata hujazaliwa wewe, wewe unaongelea miaka 10 hiyo ya aliexpress na hao kikuu wenu wa vitu feki na matoys,
Posta hawana uhakika kwenye parcels mizigo mingi hasa midogo midogo inapotea sana ikipitia posta nina uzoefu mkubwa sana bwana mdogo. Na nina kesi zangu si chini ya 7 kupitia posta na zingine hadi ilibidi ni request refund kwa sellers baada tracking kuonesha mzigo ulisha kuwa clared lakini kwangu haujafika.