Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
shule gani au vidudu?Pombe nilishaachaga kitambo sana kiniwa shule baada ya kulewa na kumiminia konyagi chupa kumi kubwa kwenye sufuri la uji wa shule shule nzima wakalewa! nikajadakwa nikaswekwa ndani hadi leo pombe siitaki labla unipe wine
Natumianimelogwa vibaya
wewe unakunywa?
nakuonea wivuuuNatumia
Nenda kwa Gwajima. Siku hiyo hiyo utakata kreti la Heineken!natamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi
Wivu kwenye pombe??? Mbona situmii maziwa na ninaona kawaida tunakuonea wivuuu
natamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi
Nenda loliondo mana kijana bila bia hayo maajabnatamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi
Pole sana unakosa starehe nzuri kuliko zote,,,, anza Smirnoff changanya na soda hiyo hutajua hata kuwa ni pombe ila utajikuta tu umelewanilijaribu plisner sijui nimepatia miaka hyoo yaani nusu glass nikatapika yote.chuo nikajaribu tusker reds castle zoote nikashindwa nikajaribu konyagi yaani harufu tu natapika nikaja viroba mama yangu ni shida ..casltle lite hizi masaint anna nimeshindwa.yaani naishia kumeza mate tu ..yaani ningekuwa bonge la mlevi kupunguza mastress basi tu pombe zimenikataa naishia kulalalala tu
Thread zote za pombe huwa zinakuibua kutoka mafichoni! [emoji1]Hivi castle light wameweka nini mule......kidude kitamu kile jamani........ukipaulia na ka balentine ka kucheulia.......
Mhh wanywaji kwa kwa kupeana ma-hope.... Hayo mengine naweza kukubaliana na ww kwa atleast 40%, lakini hiyo ya kuongeza afya sidhani, labda kinyume chake!madeal mengi yanapatikana bar, kuondoa stress .kufurahi ,marafiki mwili kupata afya na mengine kibao.angalia wadada wanywaji walivo na maisha mazuri.
heri yako usiyekunywa pombe.ni ugonjwa sio bure nimelogwa
Thread zote za pombe huwa zinakuibua kutoka mafichoni! [emoji1]
Wakuu mimi ni mdau mzuri wa pombe aina ya Jebel hzi local beers za ngano zinanishida kwa vile tu mtu unamka na hangover sana hebu nijuze vileo vingine tofauti na jebel nitajie ambavyo vina alcohol kubwa kiasi
Wakuu mimi ni mdau mzuri wa pombe aina ya Jebel hzi local beers za ngano zinanishida kwa vile tu mtu unamka na hangover sana hebu nijuze vileo vingine tofauti na jebel nitajie ambavyo vina alcohol kubwa kiasi
Mbege ndio dawa...au mwenye dawa ya kumfanya mtu anywe pombe pls
Mimi huwa nakunywa ile ambayo huwa inaondoa baridi, ina picha ya mtuna misuli!.......One bottle please!Wewe unakunywa nini nimuite muhudumu........?......
Mimi huwa nakunywa ile ambayo huwa inaondoa baridi, ina picha ya mtuna misuli!.......One bottle please!