Alikuwa anakupa mbinu jinsi yakupata visa anakwambia kuwa ukienda Ubalozi utaulizwa mashwali haya utakuwa kujibu hivi....pia anakutafutia vitu vyote vinavyo takiwa Ubalozin nakama huko unakotaka kwenda huna sehem yakufikia atakutafutia watu wakukupokea...mwisho wasiku ukisha fanikiwa kupata Visa unamlipa nasiyo pesa nyingi .anakuchaji kulingana na hariyako jinsi ilivyo.Mrangi huyu kibosile alikuwa anatoa kitabu kama uhamiaji au alikuwa anatoa viza ya Tanzania kwa wahamiaji.
Au anatoa gamba na kama unataka viza la greece unamlipa unakuta mkwaju umekamilika wewe unasogea airport unakamata pipa????
Viza la italia alikuwa anatoa na china????
Alikuwa anakupa mbinu jinsi yakupata visa anakwambia kuwa ukienda Ubalozi utaulizwa mashwali haya utakuwa kujibu hivi....pia anakutafutia vitu vyote vinavyo takiwa Ubalozin nakama huko unakotaka kwenda huna sehem yakufikia atakutafutia watu wakukupokea...mwisho wasiku ukisha fanikiwa kupata Visa unamlipa nasiyo pesa nyingi .anakuchaji kulingana na hariyako jinsi ilivyo.
😂😂Sio pesa nyingi anakuchaji kiasi kidogo tu. Huyu jamaa kama vipi apewe mtaji aendelee kuhudumia watu kizalendoAlikuwa anakupa mbinu jinsi yakupata visa anakwambia kuwa ukienda Ubalozi utaulizwa mashwali haya utakuwa kujibu hivi....pia anakutafutia vitu vyote vinavyo takiwa Ubalozin nakama huko unakotaka kwenda huna sehem yakufikia atakutafutia watu wakukupokea...mwisho wasiku ukisha fanikiwa kupata Visa unamlipa nasiyo pesa nyingi .anakuchaji kulingana na hariyako jinsi ilivyo.