Watu8 na FaizaFoxy wako wapi?!

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,796
2,000
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa na historia ya nchi yetu kwa muda mrefu sasa katika vyombo mbali mbali vya hbr. Nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa waandishi na wadau wake. Wengi baadhi ya waandishi na baadhi ya wadau wa habari wamekuwa wakichambua mambo ya siasa na utawala wa nchi yetu kwa kutosimamia ukweli na uhalisia. Wengi hugemea au kupendelea upande wa dini au kabila waliko wao. Hata kama upande huo una haribu nchi wao hujifanya hawaoni. Kwa hiyo hata humu JF kuna watu sasa hivi wanaiponda au kutoiunga mkono serikali iliopo madarakani jwa sababu sio watu wa imani moja au kabila moja. Na pia kuna wengine wanaiunga mkono sio kwamba inafanya vizuri bali ni kwa kuwa tu ni wamoja ktk dini au kabila. Tukitaka kwenda mbele kama nchi tubadilike tuache unafiki. Nyeusi tuseme nyeusi na nyeupe isemwe tu kuwa nyeupe bila kuogopa wala kupendelea.

Sijakuelewa ila ni kama unasema Faiza ni Muislamu na Jk ni hivyo hivyo so alikuwa active sana kumtetea, so kwa kuwa jiwe ni mkristo ndiyo mana hayuko active? Sorry ila umesema mwenyewe kuwa nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe nyeupe.
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,488
2,000
Waooooooooooooooooooooo hatimae Dada yetu kipenzi faiza foxy ametoka pangoni amekuja ametujibu na tumejua bado anaendelea kupata rehema na baraka za Allah

Asante Dada faiza foxy
 

Dindira

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,923
2,000
Serious au joke ? Hawezi kuwa mwalimu bana uwelewa wake na exposure ni mpana mnoo tofauti na walimu wengi walivyo
You must be very stupid. Walimu gani hawana exposure ? Kumbuka hatuongelei walimu wa madrasatul
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom