watu zaidi ya 40 wamekufa wakiiba mafuta uganda.wengi wakiwa bodaboda.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,289
nipo naangalia habari. uko uganda watu zaidi ya 40 wamekufa wakiiba mafuta nchini uganda baada ya lori la kubeba mafuta kupata ajali. wengi waliokufa ni bodaboda waliokimbilia kuiba mafuta. pikipik nyingi zimeungua na marehemu waliungua sana na ikawa adi ngumu kuwatambua.
nitaweka picha apo baadaye .
 
hali ni mbaya kuna familia moja wamekufa wa 5.wengine wamefiwa na wake zao.wengine vijana nao.bodaboda na waendeshaji wake wengi wamekufa.
 
Kabla ya ile ajali mbeya , wenye maiti walipiga tambiko pale, manake wenyeji walijijfanya kuiba suti za marehemu na vitu vingine...baada ya tambiko...mpaka leo sehemu ile inaua watu!!
 
Back
Top Bottom