Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,548
Reaction score
89,516
Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga.

CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi.

Walitumia maafisa kuweza kupanga mipango, Maafisa wasiolitakia mema taifa letu, wakakengeuka wakatengeneza mipango kabambe. Wakajiona kuwa wanashinda kabla hawajajibiwa. Majibu yakaja. Walitumia kila mbinu, kutishia, uzushi, skando, slaha zote walizitumia.

Sasa ni kimyaa Serikali ipo kazini. Tunasonga mbele.

CCM ni chama dume siyo kukijia kwa mipango ambayo wanacheza mipango hiyo ni wana CCM watiifu. CCM ni taasisi, CCM siyo mtu mmoja au kikundi cha watu. CCM ipo kila kona (Makanisani, Misikitini, ulipo CCM ipo), Unayepanga naye mipango unamwamini kwa % ngapi.

Sasa ni wazi kuwa nguvu ya CCM dunia nzima wamejua. Wajerumani wanatamani kurudi hapa TZ lakini kikwazo chao ni CCM. Sasa utitowaje hiyo CCM.

Plans tunazijua zote itabidi mjipange tena kwa miaka 25 Year. Mipango yenu yote mliokuwa mnaifanya kila hatua ilikuwa inafuatiliwa.

Mwenye akili haambiwi tazama.
 
Acha uchochezi
 
Kama CCM ingekuwa hai Rais Samia asingewekwa madarakani na kura za wizi . ccm imeshakufa subiri mazishi soon.
 
Chawa unahaha sana this time, inaonekana mavi yanakaribia kugonga chupi
 
Kenge mmoja wa lumumba usituchoshe
 
Una akili ndogo sana
Umedownlod VPN kuja kuandika ujinga humu unaangaika kupeleka ujumbe kwa watu ambao serikal yako ya ccm imewafungia

Unaisifia ccm wakat imekunyima uhuru wa kutumia app uipendayo saiv unatumia VPN kufanya kitu ukipendacho afu unajisifu ww ni lijinga na wazazi wako hawakuzaa walikunya maana ujitambui na utambui unataka nn

Na serikal yako ya ccm unayo isifia ikikushika unatumia VPN ni kosa kisheria so unafanya makosa kisheria kwa kutumia vpn afu unaisifu ccm
Jinga kabsa ww na kizazi chako mmeraaniwa
 
Bahati nzuri CCM imeonyesha I naondoka madarakani kwa kumwaga damu au Civil War hiyo imeonyesha October 29 wananchi 99% hawakupiga October 29 kwa hiyo chama kikosa nguvu ya Umma kikabaki kujificha kwenye dola basi tegemea Civil War
 
Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga.

CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi.

Walitumia maafisa kuweza kupanga mipango, Maafisa wasiolitakia mema taifa letu, wakakengeuka wakatengeneza mipango kabambe. Wakajiona kuwa wanashinda kabla hawajajibiwa. Majibu yakaja. Walitumia kila mbinu, kutishia, uzushi, skando, slaha zote walizitumia.

Sasa ni kimyaa Serikali ipo kazini. Tunasonga mbele.

CCM ni chama dume siyo kukijia kwa mipango ambayo wanacheza mipango hiyo ni wana CCM watiifu. CCM ni taasisi, CCM siyo mtu mmoja au kikundi cha watu. CCM ipo kila kona (Makanisani, Misikitini, ulipo CCM ipo), Unayepanga naye mipango unamwamini kwa % ngapi.

Sasa ni wazi kuwa nguvu ya CCM dunia nzima wamejua. Wajerumani wanatamani kurudi hapa TZ lakini kikwazo chao ni CCM. Sasa utitowaje hiyo CCM.

Plans tunazijua zote itabidi mjipange tena kwa miaka 25 Year. Mipango yenu yote mliokuwa mnaifanya kila hatua ilikuwa inafuatiliwa.

Mwenye akili haambiwi tazama.
IMG_8509.jpeg
 
Nyie machawa kama mnaandika muwe mnaweka kabisa majina yenu kamili kwa sababu sifa kuu ya kupewa ukatibu tarafa au ukuu wa wilaya ni pamoja na kuandika utumbo kama huu.
 
Back
Top Bottom