Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Naam, ninalo,
Mtoa mada amechanganya changanya vitu vingi amewaponda wacheza mpira wanawake lakini pia amewaponda waafrika kwa ujumla, naona hapo kwa waafrika ni kama na yeye anafanya kama walivyo waafrika wengine, kuona waafrika hawafai kufurahi, kumwaga mipesa, kufanya the so called dhambi kisa ni waafrika hapo tayari mindset yake imefungwa fungwa na utumwa wa fikra, kila binaadam bila kujali jinsi yake, rangi yake, utaifa wake waka sexuality yake anahaki ya kufanya chochote na akasifiwa ama kuadhibiwa kama amepitiliza

Tukija kwa wachezaji wa Africa wa kike ni kweli wengi wana utomboy na hii inachagizwa na jamii waliyopo kuona kua mpira wa miguu ni wa wanaume kwa hiyo na wao wanajikuta wanaiga ukiume ili waende sawa na kaka zao, binafsi sipendezwi na hicho kitu, hivyo hivyo kwa boxing,

Wachezaji wa Ulaya na America ni moja ya sharti zao kua kikike nilivyosikia, nadhani wasingeweka hilo sharti tungeona mabro wengi sana wakisakata kabumbu.
Unadhani ni kwanini huko waliweka hiyo sheria kua lazima uwe na haiba za kike??
 
Sababu ni mpira wa miguu ya wanawake ni lazima waweke utambulisho wa ukike
Good Mkuu. Sasa kwanini sisi watu weusi tunaweka utambulisho wa kiume wakati mpira ni wa miguu wa wanawake? Jibu nini MINDSETS kama Uzi unavyosema.
 
Kweli wanasoka wa kike kwa Afrika ni majanga. Na wanaongoza kwa kujihusisha na usagaji. Timu ya SA imejaa wachezaji waliooa wanawake wenzao.
Mkuu umejuaje kama na wao wachezaji wa Ulaya nawao hawajiusishi na tabia hizo?
Usiangalie Muonekano ata wazungu wapo kama wanaume kabisa na tabia za usagaji wazungu ndiyo wenyewe kwenye Mambo hayo tena kuwatambua kwa muonekano ni vigumu ila kwa uku Kwetu wasagaji inakua rahisi kutokana na Muonekano wao tofauti na wenzetu wazungu wao unaweza kuwaona marafiki wapo pamoja na wote wazuri tena pisi kali lakini kumbe ni mke na mume. Wazungu wasagaji kuwajua kwa muonekano ni ngumu.
 
Unabisha ujinga
 
Unabisha ujinga
We unaongea vitu usivyo vijua, Mambo ya usagaji Ulaya ndiyo penyewe kabisa, kwakua wewe ni mgeni wa wazungu au hujawahi kufanya kazi sehemu ambazo zina hudumia wazungu kutoka nchi mbalimbali ungejifunza Mambo mengi, kwasisi tulifanyaga kazi na sehemu za wazungu tunaona usagi Tanzania bado tupo nyuma na bado wageni wa Mambo ya kidunia tena kwenye Mambo ya kimahusino.
 
Ukweli mnaujua ila mnajitoa tu ufahamu hayo yote mmeyataka watu weusi wenyewe wazungu wala hawahusiki, kumbukeni huko kwa wenzetu hakuna kazi za kiume wala za kike ndio maana mtu yeyote anaweza kufanya kazi yoyote na akawa na haiba ya jinsia yake, ila huku kwetu jamii nyingi ziliweka tamaduni kuwa kazi ngumu ngumu ziwe za kiume na nyepesi nyepesi ziwe za kike

Kwahivyo wanawake wengi wenye haiba ya kike hawawezi kufanya kazi za kiume kwa kuhofia wataonekanaje, hao wacheza mpira ambao ni matomboy siyo mpira uliowafanya wawe hivyo bali ndio uhalisia wao hata wasingekuwa wacheza mpira bado wangekuwa matomboy, ila wameona kama mpira ndio moja ya kazi za kukimbilia zinazoendana na haiba zao sababu ni moja ya kazi zinazoonekana ngumu ngumu na za kiume tu

We angalia hata kwenye tasnia ya uanamitindo kiujumla ilishaonekana kama ni kazi ya kike ila huko kwa wenzetu wanaume wanaweza wakaifanya na wakawa na haiba za kiume kama kawaida, huku kwetu wanaume wengi wanamitindo ni mashoga na wanajiweka kikekike na siyo hiyo kazi iliyowafanya wawe hivyo bali huo ndio uhalisia wao, ila wakakimbilia kwenye moja ya kazi zinazoendana na haiba zao kwahiyo wala tusiwalaumu hao watu bali tulaumu tamaduni zetu na ikiwezekana elimu itolewe upya kwa hivi vizazi vya leo na vijavyo ili wabadili hiyo mitazamo
 
Safi sana Mkuu umeelezea vizuri Sana kazi ipo kuelimisha jamii ya watu weusi.
 
Habari Wakuu.

Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike.

Njoo Kwa timu za watu weusi wachezaji wakike karibu wote wanajifanya wanaume hakuna ile haiba yakike Yani ni matom-boy wanaona mpira unawataka kuwa vile kumbe sio wanajiona vidume yani ujinga tu.

Hata dhambi tunaongoza sisi watu weusi sema tu umasikini umeficha dhambi zetu . Laiti tungekuwa na Mapesa sisi Dunia isinge Kalika hii watu weusi mindset zetu ni mbovumbovu Sana.

Watu weusi tunashida Sana katika kuendesha maisha yetu kiujumla.
Kuna dhambi kuzidi ya kumwaga mabomu na makombora Kwa binaadamu wengine.HATA MINDSET YAKO INA MATATIZO PIA.
 
Kuna dhambi kuzidi ya kumwaga mabomu na makombora Kwa binaadamu wengine.HATA MINDSET YAKO INA MATATIZO PIA.
Watu weusi tumekosa tu hayo makombora mbona tunge yamwaga Sana hatuna tu technology tungeua Sana tungeuwana sana.
 
Back
Top Bottom