Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Ila kamrembonflani amazing nilikaona timu ya sauz aftica na pia kule morocco...vinavutia hivyo
Yes wachache Sana Yani asilimia 5% wanajitambua lakini 95% wanajiona vidume . Unaweza Kuta wana mademu zao cuz hawawezi kujifanya vidume hivihivi tu yani unakuta vinatembea Kama wanaume kanaongea Kama wanaume n.k
 
Hakika Mkuu kwasasa wanajiona vidume kuanzia kutembea, kuongea, kushangilia n.k utakuta wana mademu zao pia cuz hawawezi kuvimba burebure tu kama wanaume.
Ndio kuna umri utafika nature itawarudisha kwenye mstari tu maana watakua hawana kingine cha kupoteza zaidi ya kujipoteza wao wenyewe
 
Ndugu mleta mada naunga mguu hoja,
watu weusi wakipata vijisenti ndo utajua tabia zao na hapo ndo unapokuja ule msemo wa maskini akipata, mat..ko hulia mbwata,
utakuta series ya kibongo mwanzo washiriki weusii..!! ila ikifanya vizuri hiyo series wakapata vijisenti kidogo basi utakuta wamejikoboa wamekua weupe mpaka utashangaa!!
Na kiswahili utakuta hawawezi kuzungumza tena Yani shida tupu.
 
Nimewahi fanya kibarua kwa Wachina kipindi fulani, kuna supervisor mmoja alikuwa na msemo wake mkizingua anawaambia "Swahili S***e sana" 😃
😁 Hatari Sana Mkuu anaona tunabwela Sana.
 
Ukweli ni kwamba rangi nyeusi inawakilisha uovu..mimi mwenyewe nikutana huwa na mtu mweusi sana najisikia vibaya sana..siwapendi natamani tu niwapige bomu la atomic ni wachawi,wivu wa kimaskini,chuki za kishetani dhidi ya watu wengine na kuloga watu sana...hii jamii hapana.
😁😁 Mkuu basi basi usije walipua Bure 😁😁.
 
Ndio kuna umri utafika nature itawarudisha kwenye mstari tu maana watakua hawana kingine cha kupoteza zaidi ya kujipoteza wao wenyewe
Na kuna wengine wanapotea mazima hawapati chance.
 
Kweli wanasoka wa kike kwa Afrika ni majanga. Na wanaongoza kwa kujihusisha na usagaji. Timu ya SA imejaa wachezaji waliooa wanawake wenzao.
Hakika Mkuu unakuta toto lakike linatembea Kama mwanaume anaongea Kama mwanaume anashangilia Kama mwanaume lazima atafute demu pia ili aendelee kuwa Kama mwanaume.
 
Haujaelewa Mkuu au niseme umekariri. Hapa sipo kumpa sifa mtu mweupe nazungumzia ule ukweli vijana weusi ndiyo wanachachawa kwa kuwaiga wazungu mpaka wanaharibu. Utom-boy si mambo ya kiafrika ni mambo ya kizungu vijana weusi mnaiga mpaka mnapitiliza alafu unasema na chachawa au nyie ndiyo mnachachawa Kwa uzungu jinga ambao hata wenyewe hawaufuati.
Para zako mbili za mwisho ndo mental slavery nayozungumzia. USIJIDHARAU BLACKMAN👋
 
Dr. Mariposa una lolote la kuchangia kwenye huu uzi??
Naam, ninalo,
Mtoa mada amechanganya changanya vitu vingi amewaponda wacheza mpira wanawake lakini pia amewaponda waafrika kwa ujumla, naona hapo kwa waafrika ni kama na yeye anafanya kama walivyo waafrika wengine, kuona waafrika hawafai kufurahi, kumwaga mipesa, kufanya the so called dhambi kisa ni waafrika hapo tayari mindset yake imefungwa fungwa na utumwa wa fikra, kila binaadam bila kujali jinsi yake, rangi yake, utaifa wake waka sexuality yake anahaki ya kufanya chochote na akasifiwa ama kuadhibiwa kama amepitiliza

Tukija kwa wachezaji wa Africa wa kike ni kweli wengi wana utomboy na hii inachagizwa na jamii waliyopo kuona kua mpira wa miguu ni wa wanaume kwa hiyo na wao wanajikuta wanaiga ukiume ili waende sawa na kaka zao, binafsi sipendezwi na hicho kitu, hivyo hivyo kwa boxing,

Wachezaji wa Ulaya na America ni moja ya sharti zao kua kikike nilivyosikia, nadhani wasingeweka hilo sharti tungeona mabro wengi sana wakisakata kabumbu.
 
Back
Top Bottom