Watu weusi hatutaacha kudharaulika kamwe

African continent is a fallen kingdom! Zamani waafrica ndo walikuwa wamestaraabika kuliko watu wa mabara mengine!
Chanzo cha kuwa fallen kingdom ni kutokana na sababu mbalimbali lakini sababu kuu ni kuabudu sanamu badala ya mungu wa kweli(YEREMIA 46:1-9)! Hata wamisri wa zamani walikuwa weusi tii! Sio hawa waarabu wa leo ambao kazi yao kuu ni kutafuta utajiri ulioachwa kwenye mapiramids mbalimbali! Mtu mweupe ameamua kumpumbaza mtu mweusi hadi amemtungia historia ya uongo! Eti, us africans came from primates! Yaani ni shida tu mwanawane! Ila wakati wa sisi kuwa inferior umekwisha! Ila tunacheleweshwa na mambo mengi kama waisrael walivyocheleweshwa kupewa uhuru wao sababu ya dhambi zao kwenye kitabu cha DANIEL! Ngoja niishie hapa!

Biblia inasema mtu mweusi ni kizazi cha Ham , kimelaaniwa. Gen. 9:25-27
 
Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why?
Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana.

Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe waache ubaguzi. Sisi ndio tunaopasww kuijenga hiyo heshima la sivyo tutaendelea kudharaulika na kila race hapa duniani
Wanasemaga "RESPECT IS EARNED"

Ukiangalia inventions zote za muhimu duniani zimefanywa na watu weupe. Zipo chache zilizofanywa na watu weusi ila ukiangalia watu hao ni wale walioelimika nchi za watu weupe

Nchi zote za watu weupe ni tajiri na nchi zote za watu weusi ni masikini. South Africa imejengeka vizuri vile na walioijenga ni watu weupe. Nchi tajiri Africa karibia zote sio za watu weusi (Morocco, Algeria, Egypt, Tunisia, Seychelles, Mauritius etc). Nchi hizi ukiziangalia ni tajiri kuliko nchi zote za watu weusi duniani kasoro South Africa (ambayo ilijengwa na watu weupe)

Fuatilia miji ya Morocco au Egypt, utaona ni miji misafi, ina miti mingi, imepangiliwa vizuri na ina mwonekano mzuri sana ukifananisha na miji ya nchi za watu weusi

Nchi masikini zaidi Ulaya watu wake wana maisha mazuri kuliko nchi tajiri zaidi Africa, pia nchi masikini zaidi North America ni Haiti, ambayo ni nchi ya watu weusi

Zimbabwe ilipokuwa chini ya watu weupe, Harare ndio ulikuwa mji msafi na organised zaidi Africa. Baada ya watu weusi kupewa Zimbabwe yao sasahivi Harare umekuwa mji mchafu na disorganised

Miji yetu hapa Tanzania utagundua maeneo organised (Oysterbay Dar es Salaam au Uzunguni, Mbeya) yalijengwa na watu weupe, halafu yale maeneo disorganised tumejenga sisi watu weusi

Africa imekuwa ikisumbuliwa na Malaria kwa miaka. Watu walikuwa wanakufa tu bila kujua chanzo, mpaka wazungu walipokuja ndio wakajua kinachowaua wakazi wa Africa ni malaria, na inasambazwa na mbu. Mpaka dawa za Malaria wakatengeneza watu weupe.
Sasahivi kila ugonjwa unaoanzia Africa (UKIMWI au Ebola) ni watu weupe ndio watagundua unavyosambaa, na tiba yake au namna ya kujikinga

Hapa Tanzania kila tukitaka kujenga madaraja, tunatumia makampuni ya Kichina au Korea, Uturuki nk.
Nyumba zetu tunajenga wenyewe ila ikija suala la kujenga tu ghorofa refu, tunawaita Wachina

Africa imejaaliwa resources nyingi sana. Lakini tulikuwa hatujui mpaka walipokuja watu weupe. Hata sasahivi, tayari tunajua kuwa tuna resources ila bado zinafaidisha watu weupe.
Mgodi wa Buzwagi kule Kahama, wazungu wamejichimbia dhahabu hadi sasahivi yamebaki kidogo, mgodi umefungwa bado Kahama ni masikini na haujatunufaisha ipasavyo Waafrika

Mpaka leo nchi za watu weusi mahali popote pale duniani zina matatizo common
Bado maji ni ya shida, umeme wa kusuasua, umasikini umeshamiri, watu tunazaliana kwa wingi bila mipango ya maana ya kiuchumi, viongozi mafisadi, miji michafu, ajira hakuna, viwanda vya kuhesabu, slums kila kona yani hali ni mbaya everywhere
Hata Botswana na Namibia ambazo tunasema zipo vizuri kwa hapa Africa na zenyewe bado umasikini ni mkubwa na viwanda vichache. Ni vile tu wana afadhali kuliko Waafrika wengine, ila sio kwamba wako vizuri sana

Nchi nyingi za Asia zilikuwa masikini miaka ya 1960, angalia Singapore, Qatar, South Korea na China. Leo hii zimetajirika mno. Kama kutawaliwa hata Singapore, South Korea na China zilitawaliwa na zilipoachiwa huru zilikuwa masikini kama Africa tu. Ila miaka ilivyozidi kwenda maji na mafuta yakazidi kujitenga
Nchi zao zikawa tajiri na very industrialized, sisi tumebaki masikini na hadi leo tukifanikiwa jambo dogo mno tunajipongeza hadi basi

Leo hii dunia nzima utakuta bidhaa za Wachina ( Xiaomi, Lenovo, Huawei, Hisense, BYD etc), Wakorea (Samsung, LG, nk), Wajerumani (Volkswagen), Wamarekani (Apple, Microsoft, HP, Dell), Wajapani (Sony, Play Station, Sharp Aquos, Toyota), Taiwan (Asus) nk lakini hautakuta makampuni ya Nigeria, Tanzania, Kenya, Uganda, Angola, Somalia nk

Miradi yetu mikubwa hapa Tanzania tunawapa Wachina na Waarabu waiongoze, kwamba sisi tunashindwa kuiongoza.

Sisi tuna mzaha hata na viongozi tunaowachagua. Kama kiongozi anawapa rasilimali watu wa nchi za nje bila hofu wala chembe ya uzalendo unadhani hao watu unaowapa hizo rasilimali wanakuonaje? In fact wanakuona kama zezeta ambalo halijali kuhusu nchi yake, na ndio la kulitumia kutajirisha nchi zao wao wanaojitambua.

Sisi karibia kila kitu tunaboronga. Kuanzia elimu, afya, kilimo, umeme, ajira, viwanda, usafirishaji, chakula, teknolojia, uchumi, maisha ya watu, uongozi, uchimbaji madini nk. Ni watu masikini, mafisadi, wala rushwa na tunapenda mno kujipongeza kwa achievements ndogo ambazo wenzetu walishafanikiwa miaka ya 1980s huko

Hivi hata wewe ukifikiria, kwa jinsi sisi watu weusi tulivyo nyuma kwenye kila kitu unadhani nani atatuheshimu? Ndio maana tunabaguliwa mno nchi za watu na watu wengi hawapendi black immigrants kwenye nchi zao. Sisi tunasikitisha sana.

It's painful but it's the truth. Katika human races zote duniani sisi ndio tunadhalilisha
Umeandika kwa uchungu Sana na ni ukweli mtupu, mi ndiomaana huwa nakubali Sisi ni nyani tu kama wazungu wanavyotuita
 
mtoto wa Ham alielaaniwa ni nani? Jibu kama ilivyoandikwa!

Mkatoliki Anne Catherine Emmerich aliota kwamba katika ndoto yake aligundua kuwa watu weusi ni wazao wa Hamu:

“Ninaona kwamba mataifa meusi, yanabudu sanamu, na ya kijinga ni wazao wa Hamu. Rangi yao haitokani na miale ya jua, bali na chanzo chenye giza ambacho kutoka kwake yalitoka yale makabila yaliyodhalilika.”

Pia anasema kwamba, baada ya kumuua Abeli, ngozi ya Kaini iligeuka ikawa nyesusi.
 
Mkatoliki Anne Catherine Emmerich aliota kwamba katika ndoto yake aligundua kuwa watu weusi ni wazao wa Hamu:

Pia anasema kwamba, baada ya kumuua Abeli, ngozi ya Kaini iligeuka ikawa nyesusi.
ndo maana nimesema watu weupe wamempumbaza mtu mweusi! Yaani aote halafu sisi tumuamini!! Na hata hivyo HAM hakulaaniwa! Alielaaniwa ni CANAAN mtoto wake tena ametajwa kwa jina!
 
Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why?
Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana.

Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe waache ubaguzi. Sisi ndio tunaopasww kuijenga hiyo heshima la sivyo tutaendelea kudharaulika na kila race hapa duniani
Wanasemaga "RESPECT IS EARNED"

Ukiangalia inventions zote za muhimu duniani zimefanywa na watu weupe. Zipo chache zilizofanywa na watu weusi ila ukiangalia watu hao ni wale walioelimika nchi za watu weupe

Nchi zote za watu weupe ni tajiri na nchi zote za watu weusi ni masikini. South Africa imejengeka vizuri vile na walioijenga ni watu weupe. Nchi tajiri Africa karibia zote sio za watu weusi (Morocco, Algeria, Egypt, Tunisia, Seychelles, Mauritius etc). Nchi hizi ukiziangalia ni tajiri kuliko nchi zote za watu weusi duniani kasoro South Africa (ambayo ilijengwa na watu weupe)

Fuatilia miji ya Morocco au Egypt, utaona ni miji misafi, ina miti mingi, imepangiliwa vizuri na ina mwonekano mzuri sana ukifananisha na miji ya nchi za watu weusi

Nchi masikini zaidi Ulaya watu wake wana maisha mazuri kuliko nchi tajiri zaidi Africa, pia nchi masikini zaidi North America ni Haiti, ambayo ni nchi ya watu weusi

Zimbabwe ilipokuwa chini ya watu weupe, Harare ndio ulikuwa mji msafi na organised zaidi Africa. Baada ya watu weusi kupewa Zimbabwe yao sasahivi Harare umekuwa mji mchafu na disorganised

Miji yetu hapa Tanzania utagundua maeneo organised (Oysterbay Dar es Salaam au Uzunguni, Mbeya) yalijengwa na watu weupe, halafu yale maeneo disorganised tumejenga sisi watu weusi

Africa imekuwa ikisumbuliwa na Malaria kwa miaka. Watu walikuwa wanakufa tu bila kujua chanzo, mpaka wazungu walipokuja ndio wakajua kinachowaua wakazi wa Africa ni malaria, na inasambazwa na mbu. Mpaka dawa za Malaria wakatengeneza watu weupe.
Sasahivi kila ugonjwa unaoanzia Africa (UKIMWI au Ebola) ni watu weupe ndio watagundua unavyosambaa, na tiba yake au namna ya kujikinga

Hapa Tanzania kila tukitaka kujenga madaraja, tunatumia makampuni ya Kichina au Korea, Uturuki nk.
Nyumba zetu tunajenga wenyewe ila ikija suala la kujenga tu ghorofa refu, tunawaita Wachina

Africa imejaaliwa resources nyingi sana. Lakini tulikuwa hatujui mpaka walipokuja watu weupe. Hata sasahivi, tayari tunajua kuwa tuna resources ila bado zinafaidisha watu weupe.
Mgodi wa Buzwagi kule Kahama, wazungu wamejichimbia dhahabu hadi sasahivi yamebaki kidogo, mgodi umefungwa bado Kahama ni masikini na haujatunufaisha ipasavyo Waafrika

Mpaka leo nchi za watu weusi mahali popote pale duniani zina matatizo common
Bado maji ni ya shida, umeme wa kusuasua, umasikini umeshamiri, watu tunazaliana kwa wingi bila mipango ya maana ya kiuchumi, viongozi mafisadi, miji michafu, ajira hakuna, viwanda vya kuhesabu, slums kila kona yani hali ni mbaya everywhere
Hata Botswana na Namibia ambazo tunasema zipo vizuri kwa hapa Africa na zenyewe bado umasikini ni mkubwa na viwanda vichache. Ni vile tu wana afadhali kuliko Waafrika wengine, ila sio kwamba wako vizuri sana

Nchi nyingi za Asia zilikuwa masikini miaka ya 1960, angalia Singapore, Qatar, South Korea na China. Leo hii zimetajirika mno. Kama kutawaliwa hata Singapore, South Korea na China zilitawaliwa na zilipoachiwa huru zilikuwa masikini kama Africa tu. Ila miaka ilivyozidi kwenda maji na mafuta yakazidi kujitenga
Nchi zao zikawa tajiri na very industrialized, sisi tumebaki masikini na hadi leo tukifanikiwa jambo dogo mno tunajipongeza hadi basi

Leo hii dunia nzima utakuta bidhaa za Wachina ( Xiaomi, Lenovo, Huawei, Hisense, BYD etc), Wakorea (Samsung, LG, nk), Wajerumani (Volkswagen), Wamarekani (Apple, Microsoft, HP, Dell), Wajapani (Sony, Play Station, Sharp Aquos, Toyota), Taiwan (Asus) nk lakini hautakuta makampuni ya Nigeria, Tanzania, Kenya, Uganda, Angola, Somalia nk

Miradi yetu mikubwa hapa Tanzania tunawapa Wachina na Waarabu waiongoze, kwamba sisi tunashindwa kuiongoza.

Sisi tuna mzaha hata na viongozi tunaowachagua. Kama kiongozi anawapa rasilimali watu wa nchi za nje bila hofu wala chembe ya uzalendo unadhani hao watu unaowapa hizo rasilimali wanakuonaje? In fact wanakuona kama zezeta ambalo halijali kuhusu nchi yake, na ndio la kulitumia kutajirisha nchi zao wao wanaojitambua.

Sisi karibia kila kitu tunaboronga. Kuanzia elimu, afya, kilimo, umeme, ajira, viwanda, usafirishaji, chakula, teknolojia, uchumi, maisha ya watu, uongozi, uchimbaji madini nk. Ni watu masikini, mafisadi, wala rushwa na tunapenda mno kujipongeza kwa achievements ndogo ambazo wenzetu walishafanikiwa miaka ya 1980s huko

Hivi hata wewe ukifikiria, kwa jinsi sisi watu weusi tulivyo nyuma kwenye kila kitu unadhani nani atatuheshimu? Ndio maana tunabaguliwa mno nchi za watu na watu wengi hawapendi black immigrants kwenye nchi zao. Sisi tunasikitisha sana.

It's painful but it's the truth. Katika human races zote duniani sisi ndio tunadhal
Mwafrika hakuna jambo aliloweza kuprove anaweza hata kuendesha nchi zetu, pamoja na resources nyingi, na hii sio Afrika tunhata weusi wa US hakuna kitu zaidi ya kulalamika kila siku.

Mfano ni TZ, kuna kila resources za kuendesha nchi ila sehemu kubwa ya fedha haiendi kwenye maendeleo.

Kila kijiji, mtaa, kata, tarafa, wilaya, mkoa, imejaa viongozi wasioweza kufanya lolote la maendeleo.

2026 bajaji tu inauzwa milioni 10, nini mwafarika anaweza kufanya kwaajili ya watu wake
 
Paragraph ya tatu kutoka mwisho imeelezea ukweli kabisa na hiyo ndo sababu ya sisi kukutwa na yote hayo
 
ndo maana nimesema watu weupe wamempumbaza mtu mweusi! Yaani aote halafu sisi tumuamini!! Na hata hivyo HAM hakulaaniwa! Alielaaniwa ni CANAAN mtoto wake tena ametajwa kwa jina!
Ndivyo lilivyokuwa likisema kanisa maneno hayo
 
nenda ukasome biblia vizuri! Nilidhani unataka kueleweshwa ila tunapoelekea nitakutukana bureee!

Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.

Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, alifuatilia hali hiyo ya kulaaniwa hadi kwenye laana zilizowekwa juu ya Kaini na Hamu, na akaunganisha laana hizo mbili kwa kuwasilisha wazao wa Kaanani wa Hamu kama wazao wa Kaini kupitia ukoo wa upande wa mama
 
Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.

Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, a
ndugu yangu! Nenda ukatafute ile barua ya king leopold wa ubeligiji aliyowapa wamisionari walokuwa wanakuja kueneza dini ya ukristo hapa africa ndo utajua kwanini nasema mtu mweupe amempumbaza mtu mweusi! Pia kuna uzi humu jf unaelezea kwa kina laana hiyo ambayo watu weupe wanadai eti ni mtu mweusi alilaaniwa!
 
Aina ya viongozi tunaowachagua, hatuna sheria imara watu wakivurunda na kula rushwa wanyongwe. Wamewekewa kinga, wabunge machawa, wabinafsi wanajali matumbo yao
 
Hakuna watu wabaguzi kama waafrika weusi:

Mtu anakuita " wewe mtu mweusi njoo"
Wewe unakasirika, ulitaka akuite mtu mweupe?

We unatakiwa kusema tu "nakuja mtu mweupe"

Kwanza hakuna ngozi nzuri duniani kama Waafrika:
Tuna waafirka weusi kama Sudani Kusini.
Tuna waafrika Weupe kupita Wazungu;

Tuna Waafrika maji ya chungwa, damu ya mzee, brown, wekundu, wa Kaki nk.

Mzungu anaita "wewe nyani"
Unakasirika nini kama wewe sio Nyani:
Mwambie " Nakuja kwako Tumbili"
😂😂😂😂😂
 
Inasikitisha sana...
Hatupo hivi kwa bahati mbaya, tupo programmed tuwe hivi tulivyo...

Cc: Mahondaw
 
Ghana, Zambia, Malawi, Kenya, Haiti, Jamaica na kwingineko kuna CCM?
Maswali magumu unatoa majibu mepesi.
Na wala Mauritius , Sychelles , Namibia , Botswana haiko CCM , hizo nchi ulizozitaja iko CCM au zaidi yake
 
Back
Top Bottom