Watu weusi hatuna haki angalia hapa

Watu weusi hatuna haki angalia hapa

Kwanza Kabla Tu Ya Kulalamika Kuwa Wazungu Wanatubagua Hebu Tujiulize Hivi Humu Humu Jamvini Tuna Hakika Kuwa HATUBAGUANI?

Ubaguzi hauwezi kwisha kamwe. Sio tu Wazungu wanaobaguana hata hapa Tanzania watu wana baguana ki ethnic groups, classes za kwenye jamii zenyewe zinabaguana.

Yeah, for sure huuu ubaguzi upo kila sehemu sema tu, unaonekana sana ni huu ubaguzi wa rangi na imani
 
Back
Top Bottom