Watu wenye maudhi sana Dar es Salaam

Watu wenye maudhi sana Dar es Salaam

Ila hao walinzi wa magetini wanakera sana. Yaani anataka ueleze lililokupeleka hapo ofisi halafu ukienda ndani ueleze tena kwa secretary then ndo uongee na muhusika kabisa. Huwa nawakoromea sana walinzi maana kama wao ndio watatuzi wa shida yangu hapo sawa lakini wamekua wambea wambea utadhani wameajiriwa kushughulikia matatizo ya wateja kumbe jukumu lao kuangalia usalama. Huwa nafurahi sana ofisi za kimataifa unajaza kwenye daftari then wanampigia mwenyeji wako kama anakufahamu then unakwenda
 
Mi hadi huwa nataka watukana. Yaani umeenda ofisini mtu anatumia simu tuuuuu.
Bora ofisi za wazungu
 
Mi hadi huwa nataka watukana. Yaani umeenda ofisini mtu anatumia simu tuuuuu.
Bora ofisi za wazungu

Waswahili tunadhani kila anaekuja ofisini ana shida na anastahili kuadhibiwa. ndio maana hatuendelei. Mtu anakuletea dili unajitia uko bizi na simu.
 
wa nkurunziiza wanafurahisha
 
Back
Top Bottom