SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
Hii ni baadhi ya watu wanaoweza kuifanya siku ya ]lko ikawa mbaya sana hapa Dar es Salaam.
1. Wasaidizi wa wabunge. Hawa watafanya kila liwezekanalo usimuone mbunge wako, watakupa namba ya mbunge isiyipatikana ili mradi tu usimuone mbunge wako.
2.Ma sekretari especially wa ofisi za serikali. utawakuta muda woote wanachat na hawapendi kabisa kuruhusu mtu kwenda kumwona bosi hawajui customer service kabisa.
3.Walinzi kwenye mageti ya ofisi na majumbani, yaani mlinzi nae anaweza kukuuliza unakwenda kumuona bosi kuhusu ishu gani ? wakati fulani wanajisikia mpaka wanaamua kukusachi mpaka nyeti zako na kama hujavaa vizuri unaweza kumwona mlinzi getini anakunja pua kama vile unaharufu mbaya. Mlinzii?
4.Ma haus boy. Ukifika ukiuliza mwenye nyumba yupo atakuzungusha nae aonekane ni mtotot wa mwenye nyumba huku akipiga mziki mnene wakati wenye nyumba hawapo. Mahausboy badilikeni.
5. Matrafik ambao kila kakosa kadogo wanakufanya ATM.
6. Mwisho ni wapenzi wa timu kubwa za ulaya, utawasikia wakishangilia kwenye mabaa, kupita kiasi timu zao zikibata bao. wanafanyia haya kwenye mabaa kwani wengi hawana uwezo wa DStv. wanakera sana hasa michezo ya usiku wa manane.