Kila mmoja anaweza taja watu kwa makundi wanaosumbua sana jamii hasa kwake yeye aonavyo,
kwangu mimi wafuatao ni balaa katika jamii?
1. Magaidi: Hawa hawana ustaarabu kabisa wanauwa hata watu wasiohusika.
2. TRA hili kundi kwa wajasiriamali /wafanyabiashara WAZALENDO ni kiama wanaua sana kwa PRESSURE. STROKE, na KUFILISI kisa una mtaji wa 5 mln wao wanakudai kwa pressure 100 mln tena bila ushahidi wala formula kwa habari za mitaani tu
3.Traffic barabarani rushwa tupu
4. Warugaruga wa parking mjini kwa kukuvizia na kuweka chain kwa makusudi ili wakunyan'gane pesa hawa watu ni majambazi waliohararishwa na kupewa leseni ya ujambazi
ONGEZA YAKO