Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Nilichogundua simu hizo wanaopenda kuwa nazo wengi ni za malaya na machoko ,wanaamini ukimiliki hz simu wanavalue biashara zao za ukahaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jaman khaaaah.
 
iPhone iliniweza kwenye limitations, aaiiiiiiiiiii
Nilinyoosha mikono juu siwezani nayooo. Hapanaaa siweziiii.
 
Siku hizi iphone zimekuwa yeboyebo kama ist.

Kama unataka kuwa exclusive baki na google pixel au asus zenfone na ukikosa sana tumia samsung galaxy s series.
Au tumia flagship za Xiaomi[emoji847][emoji847]
 
Eh kweli wanafaidi aisee . Nimeichezea iphone 13, nikasema aise acha wadada wazishobokee tu .. bonge la simu .
 
Unatumia simu gani?
Mimi natumia Samsung, haina memory card
Haina redio
Haina 3.5 jack
Haina call record
Na chaji mara mbili kwa siku
Chaja ni 25W
 
Unatumia simu gani?
Mimi natumia Samsung, haina memory card
Haina redio
Haina 3.5 jack
Haina call record
Na chaji mara mbili kwa siku
Chaja ni 25W

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka ni bora useme wewe kuna mtu anaamini samsung s22 utrla ina 3.5 jack pia ina redio nachaji inakaa siku 2 nainaweza kuzoom km 2 au 3 bila chengaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jee za kibongo sio zile zimeshatumika halafu inatafutiwa box jengine unaambiwa ni mpya??
Na kupigwa bei ya mpya.

Naihitjai hii lakn naogopa kupigwa muwa.
Second hand utaijua tu boss fika pale China plaza brand new utaipata
 
Wenye iPhone zenu nawajulisha tu hizi simu ni za Android pia
Samsung Galaxy S22 Ultra
Xiaomi 13 Pro
Xiaomi 12S Ultra
Google Pixel 7 Pro
Vivo X90 Pro Plus
Vivo X90 Pro
Oppo Find X5 Pro
Motorola Edge 30 Ultra
One plus 11
Xiaomi Mix Fold 2
Xiaomi Mi Mix Alpha
Oppo Find N2 Flip
Samsung Galaxy Z Fold 4
Sony Xperia 1 IV
Xiaomi 12T Pro
Nothing Phone
Xiaomi Black Shark 5 Pro
Motorola X30 Pro
Motorola X40
Kwa hiyo wakati mnasema iPhone ni nzuri mjue tu kuwa Android nao hawajalala. Sasahivi hata Wachina wanatoa simu ambazo ni competitive sana sawa tu na hizo iPhone au hata zaidi. February 1 Mkorea anatuletea Samsung Galaxy S23 Ultra. Nilikuwa nawajulisha tu[emoji1][emoji1]
 
Sijawahi ona mchina alie serious na maisha.

Wote wamekaa feki feki tu.
 
Sijawahi ona mchina alie serious na maisha.

Wote wamekaa feki feki tu.
We jamaa toka nimebishana na ww kuhusu ile Google Pixel dhidi ya Xiaomi naona umeshaichukia Xiaomi na simu zite za China[emoji23][emoji23]
Ukiachilia mbali ule ubishi tuje tu kiuhalisia kama unafuatilia simu kwa sasa utagundua Mchina ana simu kali na mbovu pia. Flagship zao nazo ni competitive kwa kweli na zinaoffer good value mfano baadhi ya flagship nilizozitaja hapo juu ni za China na ni nzuri tu zinaweza kudhindanishwa na iPhone za juu. Sasahivi Mchina anatoa 50MP camera lakini hiyo 50 kweli anaitendea haki mfano Xiaomi 13 Pro. Ukiachana na hiyo Vivo X90 Pro na Vivo X90 Pro Plus nazo zipo vizuri kwenye camera department. Zifuatilie simu za China utagundua sio zote ni feki, sio vizuri kukariri hivyo.
Hata hiyo Asus unayoikubali ni ya Mchina pia. Iangalie tena One Plus 11 kwa umakini nayo.
Hata kama unachukia brand za China usiwe mchoyo wa kutoa pongezi pale wanapofanya vizuri. Maneno yaliyokukera ni ya mashabiki wa hizo simu na sio maneno ya hayo makampuni ya simu.
Sasahivi Xiaomi anashindana na kina Samsung, iPhone na Google Pixel mpaka anaitwa Chinese Apple, can you imagine?[emoji847][emoji847]
 
Naunga mkono hoja mkuu.

Nilizichukuliia poa REDMI,,nimekuja kugunduwa ndy simu zinazoongoza kwa mauzo inchi nyingi bara la ASIA.,

Kwasasa Redmi ndy anakimbiza kila upande hizo brand zingine zinabebwa na majina tu..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
iPhone nimeachana nayo kwasababu ya manyanyaso yao.. hasa walivyopiga pin tu MT4... ila ni simu nzuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…