Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Android zinabei ila hazishobokewi na watu kwasababu hazipo kwenye soko la flexing

Leo ukishika hata pixel 7 pro mtani hakuna mtu atayejua kuwa umeshika simu yenye thamani, ila ukishika tu hata iPhone 8 watu watajua upo katika daraja gani
 
Android zinabei ila hazishobokewi na watu kwasababu hazipo kwenye soko la flexing

Leo ukishika hata pixel 7 pro mtani hakuna mtu atayejua kuwa umeshika simu yenye thamani, ila ukishika tu hata iPhone 8 watu watajua upo katika daraja gani
Ukisema hivyo watakuambia wote wanaokushobokea ni washamba
 
Ukimuona mtu anakomaa Kwa nguvu zote kuishusha iPhone dhidi ya android cha Kwanza mchukulie kama mwehu alaf badae ndo muendelee na maongezi... Huwez kutengeneza brand yako ikawa ya thaman dunia nzima Kwa kubahatisha
Kabisa mkuu kombe la dunia tu ukiona watu wote jukwaani wanatamba na iPhone zao ujue zina ukubwa gani na wale sio ngozi hii yetu inatoa reason hata haijui unachokizungumza kisa tu umesikia mtaani mtu mmoja kashindwa kumudu bei ya iPhone basi kakomaa kuponda nawe huyo

Mtu anatoa sababu eti iPhone simu ya wadada
Mara iPhone simu ya washamba

Kweli ndio maana Trump alisema tuendelee kutawaliwa
 
Vizuri sana mkuu asante kwa kufunguka ila ili wengine waliopo gizani kuwafungua please hizo faida za kuwa na iPhone zimwage hapa hapa

Natumia Samsung na iPhone

Ios ni baba kwenye soko hilo halina ubishi
 
Issue ya capacity (Storage) pia nyingi zinaenda hadi 256GB na kuendelea...
 

Kwasasa iphone yenye update 8 plaina na se2 zote hizi ni chini ya laki 3 mikononi,kwanini uhisi watu wanaponda sababu waneshindwa kununua!!!

Iphone inaonekana simu ya washamba sababu ya hoja kama hizi.

Binafsi natumia iphones ila wengi mnakera sana.
 
Natumia Napsternet Tv kwenye iOS file la airtel jipange kwenye hizi medani bado kinda

Ungelimuacha abwabwaje tu mkuu, maana watu wengi wanatumia VPN kwenye iPhone bila tatizo (Airtel)

Napsternetv🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…