Watu Wazima Vikojozi !!

Watu Wazima Vikojozi !!

Daah kwa mtu mzima kukojoa kitandani ni ugonjwa kabisa!
 
Let's initiate the Bedwetting Foundation in Tz........................!
Halafu wewe Madame B kwa nini unawaza lile kojo jeupe......?:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Kwa mtu mzima itakuwa ni ugonjwa inahitaji aende hospitali.
 
Kuna wendawazimu huko juu huwa wanafanya party kabisa za kukojoleana zinaitwa golden showers.
 
Back
Top Bottom