Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
haya mkuu anza kuutafta ukiuona nishtueNataka tuutafute uzee tukiwa wote....!
haya mkuu anza kuutafta ukiuona nishtueNataka tuutafute uzee tukiwa wote....!
haya mkuu anza kuutafta ukiuona nishtue
Nimeshauona na nnao hapa ukiniruhusu nikuletee nakuletea hata sasa hivi. Ni wewe tu uniambie nikuletee wapi.
Acha kutubania mayo.wadada mnaotaka kujua wakaka wenye pesa na wasio nacho huu uzi kaeni hapa hapaaa..watu wanatokwa na majasho huku😂😂wengine wamegeuka wahubiri na wainjilist kbs😂😂😂nacheka tu mm..umaskini kwakweli ht mm nauchukia sana thts y unaona kbs watu wanastress wanatukana tu hovyo hovyo...jaman tafutenu tu pesa..ndo dawa.iliyobaki..si me wala ke!
tafuta hela nduguAcha kutubania mayo.
Anajitambua vizuri huyu,tena usikute anakomenti kwa kutumia ID yake nyingine na kweli kachangamsha genge.Shida sio yeye bali ni waliomlea. Usishangae ukakuta Ukoo wao ndio upo hivyo. Ila kama wazazi waliplay part vizuri ya malezi ninauhakika mtoto wao hawezi fikiri jambo kama hilo.
Vinginevyo awe ameleta mada kuchangamsha genge
yes anajitambua..na anayakiwa apate anayejitambua mwenzie watengeneze pesa na wale rahaAnajitambua vizuri huyu,tena usikute anakomenti kwa kutumia ID yake nyingine na kweli kachangamsha genge.
Una watoto?Shida sio yeye bali ni waliomlea. Usishangae ukakuta Ukoo wao ndio upo hivyo. Ila kama wazazi waliplay part vizuri ya malezi ninauhakika mtoto wao hawezi fikiri jambo kama hilo.
Vinginevyo awe ameleta mada kuchangamsha genge
Siyo JF anajua wapi pakuwapata,humu anafanya karesearch tu.yes anajitambua..na anayakiwa apate anayejitambua mwenzie watengeneze pesa na wale raha
Njooni mnisaidie kuzitafuta najua zipo hapo juu ya kabati tu lakini sizioni.t
tafuta hela ndugu
Sina pesa wala siyo mzee lakini ntakufa na tai shingoni siwezi kushindwa kwa jina la mwana wa Nazareth.yes anajitambua..na anayakiwa apate anayejitambua mwenzie watengeneze pesa na wale raha
Sitaki...Id mpya tu nachezea za uso...iyo ya zamani si mtanifukulia makaburi yote..Njoo na ID yako ya zamaniView attachment 1012229
ameeen..wewe ndo mwanaume..unakataje tamaa sasaSina pesa wala siyo mzee lakini ntakufa na tai shingoni siwezi kushindwa kwa jina la mwana wa Nazareth.
Siyo JF anajua wapi pakuwapata,humu anafanya karesearch tu.
😂😂😂wapo sana ElliHivi mmu kuna mtu mwenye 50+?