Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
😂😂😂ungejua kuna watu wazima wanajua kumkoleza mwanamke usingeseme...pole sanaKutunza,waaminifu,kutafuna.
😂😂😂ungejua kuna watu wazima wanajua kumkoleza mwanamke usingeseme...pole sanaKutunza,waaminifu,kutafuna.
No one is perfect until he dies including hao wazeeHahaaa bora wazee Mimi nikiona kijana naskia kichefu chefu hawana akili watu wazima hata akili zao zimetulia unaweza kukushauri hata kutoa ushauri. Kijana yeye anawaza kubadilisha k tu. Mi sioni chakumshambulia mleta mada afanye kitu roho yake inapenda no one is perfect.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂ungejua kuna watu wazima wanajua kumkoleza mwanamke usingeseme...pole sana
Ila mtu mzima mtu mzima tu bibie,hapa tusijifariji.
Vijana tunakimbiza mwenge hakuna mfano.
Ila mtu mzima mtu mzima tu bibie,hapa tusijifariji.
Vijana tunakimbiza mwenge hakuna mfano.
xawa
xawa mkuumanengelo nakuzoom kitambo ila ngoja nizeekezeeke kidogo...
Mhuu haya km ulishawaonja endelea tu. Kipenda nyama hula roho mbichi.Ndio lakini wao wako matured level yao ya stupidity ni ndogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhuu haya km ulishawaonja endelea tu. Kipenda nyama hula roho mbichi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhahaa hayo yakoSasa hayo ni matatizo binafsi kama anavyowasifia manengelo wazee wengine wanakimbiza mwenge hatari.
Ila ujana mtamu asikwambie mtu.
hyo ni kwako ww
Fetty mambo?Tobaaa!!??
Mwanzo nikajua business kweli.
Kushuka khaa!kumbe unataka mupenzi ili umkamue.
Naona umetarget ule umri wa kukaribia kustaafu uchote mafao ya watu.
Haya subiri wazee wenye pesa zao waje vibopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha ujana utamu wazee walio vzuri kiuchumi wanakula bata kuliko vijana ukosefu wa hela umewaua mwili na roho. Pesa sabuni ya roho wewe jidaganye na ujana with nothing to showSasa hayo ni matatizo binafsi kama anavyowasifia manengelo wazee wengine wanakimbiza mwenge hatari.
Ila ujana mtamu asikwambie mtu.
mie mwenyew sijui...ila mie nipo kwenye ujana badoMimi mwenyewe nakaribia kuzeeka. Hivi kwani ujana unaishia umri gani ?