Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,782
- 22,096
Huyu ni manengeloNjoo na ID yako ya zamaniView attachment 1012229
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni manengeloNjoo na ID yako ya zamaniView attachment 1012229
Njooni mnisaidie kuzitafuta najua zipo hapo juu ya kabati tu lakini sizioni.
Mjanja anajifanyaga mjinga siku zote.
Shoga kaokota dodo uyo....daah bado mim naona dodo lipo njiani[emoji16][emoji16][emoji16]dunia hii Ina mengi.
Kuna Shoga yangu kalizwaaaa kila aina ya mateso, hatimae akampata baba MTU mzima mwenye sifa hizo za mleta mada.
Kaniletea ubuyu, Shoga nimepata baba, nikauliza unampenda? Kajibu mwanzoni alimuona normal friend ila kwa sasa anapenda balaa,
Akanambia eti, utakuwa na heshima kwa family yake hatoona wivu. Nikachekaaa[emoji16]
Juzi kaja miwivu imemjaa Mara kamiss j, Mara j kawa busy tho kasema huo ubusy anautambua
Anasema j wake anajua kubembeleza, na anaonekana sio mchoyo.
Mleta mada hongera ila ukipata Wenda ukatoboa ingawa na disappointments zipo kibao tu umri huo nao majukumu kibao.
Kwa jinsi ulivyo serious Mkuu,mpaka nafikiria nimpe shavu mshua wangu..hahahaSitaki...Id mpya tu nachezea za uso...iyo ya zamani si mtanifukulia makaburi yote..
Sent using Jamii Forums mobile app
huoni anavyoenda na uzi huu sambamba!? saikolojia inamshitaki kuwa ni yeye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hata Mimi nimeanza kuhisi hivyo ukiangalia uandishi wa mleta mada anapenda kuweka ...... Na Manengelo naye pia anaandika hivyo piayaani manengelo yuko saidi by side na uzi halafu mara anaita shosti kwenye Id yake iliyoleta huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunatumia akili na saikolojia kuunga dots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hata Mimi nimeanza kuhisi hivyo ukiangalia uandishi wa mleta mada anapenda kuweka ...... Na Manengelo naye pia anaandika hivyo pia
yaani manengelo yuko saidi by side na uzi halafu mara anaita shosti kwenye Id yake iliyoleta huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunatumia akili na saikolojia kuunga dots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga kaokota dodo uyo....daah bado mim naona dodo lipo njiani
Nishachoka kusumbuana na vijana,..hela hawana na kunijaza stress tu na wakati mtoto watu mashalaah ,ila stress hadi mtu sura inajikunja..
Ctaki kiwackia vijana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hata Mimi nimeanza kuhisi hivyo ukiangalia uandishi wa mleta mada anapenda kuweka ...... Na Manengelo naye pia anaandika hivyo pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makubwaaa...nimeuona saa5 nikaanza kusoma pg ya mwisho kuja mwanzo.hahaha kwahyo unahis ni mm huyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....mie haitakuja tokea nikawa na id 2 mkuu kwanzq siwez..
2.sipendag majina mazuri mazuri...napenea majina machachu..hehhee poye wee..mie ninacheka kutokana na anachojibu...mwenzako mie sijawah kuwa single[emoji23][emoji23]..sijawaj fikiria au kujiuliza mbona sitngozwi[emoji23][emoji23]..yaan napress tu button nayotaka...!haiji tokea best
Sio yeye.. Mlianza na miss natafuta, nw manengelo? Wote hao sio kabisa..uyu ni mimi, alafu msijisumbue kuntafuta...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana .msimsingizie jaman...mwandiko wake na wangu tofaut ..mmeahndwa kutofautisha ilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala mi sijisumbui kukutafuta,sema tu nimeona nichangie tu!Sio yeye.. Mlianza na miss natafuta, nw manengelo? Wote hao sio kabisa..uyu ni mimi, alafu msijisumbue kuntafuta...
Sent using Jamii Forums mobile app