hayao
hahhahaa hayo yako
Si umewasifia wazee mamiy ? Au nimekunukuu vibaya ?
hayao
hahhahaa hayo yako
😂😂😂aniulize mm bata nazopewa na hao wazee😂😂Hamna cha ujana utamu wazee walio vzuri kiuchumi wanakula bata kuliko vijana ukosefu wa hela umewaua mwili na roho. Pesa sabuni ya roho wewe jidaganye na ujana with nothing to show
Sent using Jamii Forums mobile app
wooozaSi umewasifia wazee mamiy ? Au nimekunukuu vibaya ?
mie mwenyew sijui...ila mie nipo kwenye ujana bado
[emoji23][emoji23][emoji23]aniulize mm bata nazopewa na hao wazee[emoji23][emoji23]
woooza
Aminaa...na iwe ivyo..kuanzia muda huu sitatukana tena vijana wanaotokwa na povuNimeshatoka Church, nimekuombea my dear Nanabooty na roho mtakatifu kasema utakuwa na nyota ya Jacquline Mengi aka klyn,Say amen.
Mi naomba nikutie moyo,endelea kuchapa kazi,utampata tu mzee wa ndoto zako!
Wakati mwingine watu tunafanya masihara/utani humu, so hutakiwi kukasirika
Hii dunia hii,hapa kuna kugawana majukumu tu aisee. Sidhani kama kuna binti mwenye kukaa na mzee tu bila kuwa na back up battery,pindi umeme from Tanesco ukikata.
hahahhaa ninaunusaNikajua unakaribia uzee kama mimi,ili niangalie kama vipi tuzeeke wote.
Ukipata usinisahau kwenye mpunga please.Aminaa...na iwe ivyo..kuanzia muda huu sitatukana tena vijana wanaotokwa na povu
Najua povu linatoka kwa vijana!
Hii fursa ni ya wazee tu.
Vijana tokweni na povu tu siwajibishi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhaa ninaunusa
lol.Alaa,ngoja nitakutafuta.
hahhaaaha hilo lako..hakuna cha backup wala nn
lol.
Heavy.hata si vijana hatukutaki, 29yrs ushafokolewa sana vya kutosha, nani kijana anaeweza kuku- PM ww wakati vigoli kwa mtaa wanasumbua kutaka migegedo, pambana na wazee wako!!
Sent using Jamii Forums mobile app