Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Vigezo vyote hapo nimevifikia!
Umri tu ndio unanikosesha bebee!
😂😂😂
Vigezo vyote hapo nimevifikia!
Umri tu ndio unanikosesha bebee!
Kuna Uzi pia wahivihivi uliwahi kuja Love connect,mdada anatafuta mume,moja ya vigezo vyake ilikua lazima mtu uwe na kucha zote za miguu,na Mimi kucha ya kidole kidogo cha mwisho sina, nikakosa tena bebee kama ninavyomkosa huyuu![emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Uzi pia wahivihivi uliwahi kuja Love connect,mdada anatafuta mume,moja ya vigezo vyake ilikua lazima mtu uwe na kucha zote za miguu,na Mimi kucha ya kidole kidogo cha mwisho sina, nikakosa tena bebee kama ninavyomkosa huyuu!
njoo if ur serious
Hahaha,Kabisa Mkuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bas ww una nyota ya kukosa aisee
Kati ya watu ambao mnatakiwa kukamatwa haraka ni pamoja na wewe unayehamasisha Ngono................Then chunga sana mdomo wako hili ni jukwaa huru.................utajikuta upo pabaya huna hata Adabu hujui kama nakufahamu nilikuheshimu lakini kwa hili la kutafuta Baba zako na Mababu zako umepotoka kwa Familia yenu na kwa Taifa kwa Ujumla..........sasa nakusubiri nikuseme Live na otaona AIBU....................!!!!Mimi tangu nazaliwa ata stds sizijui! Mind u sijawai kujiuza...uko ulipo uje ata muda huu kuhusu kupima kama hujakimbia majibu yako ww ..mm ukanikuta mzima..
Pili ata wew uyo uliyekuwa naye huenda anakuletea maradhi,so ucwaseme vibaya ambao hawapo vizur kiafya hujhavuka mto wew
.nyambafu
Sent using Jamii Forums mobile app
haya..ila napika kidg nitakuja baadaye
Hahaha,Kabisa Mkuu!
Inabidi mjaribu kulegeza kidogo
Sawa Mkuu!watalegeza
Nswima siyo msimaHaha tupo wengi, Msima Ernest nakumbuka sana, kumbe na wewe wa kitambo kidogo eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
nshamaliza kidg njoo🤗
Kati ya watu ambao mnatakiwa kukamatwa haraka ni pamoja na wewe unayehamasisha Ngono................Then chunga sana mdomo wako hili ni jukwaa huru.................utajikuta upo pabaya huna hata Adabu hujui kama nakufahamu nilikuheshimu lakini kwa hili la kutafuta Baba zako na Mababu zako umepotoka kwa Familia yenu na kwa Taifa kwa Ujumla..........sasa nakusubiri nikuseme Live na otaona AIBU....................!!!!
Kati ya watu ambao mnatakiwa kukamatwa haraka ni pamoja na wewe unayehamasisha Ngono................Then chunga sana mdomo wako hili ni jukwaa huru.................utajikuta upo pabaya huna hata Adabu hujui kama nakufahamu nilikuheshimu lakini kwa hili la kutafuta Baba zako na Mababu zako umepotoka kwa Familia yenu na kwa Taifa kwa Ujumla..........sasa nakusubiri nikuseme Live na otaona AIBU....................!!!!
Mm bado nakuomba uwe wangu nami niwe wako japo si mzeeMi mshipa wa aibu ulikatika kitambo tu ,
Chaguo langu ni mababa hivyo usinilazimishe nifate utakavyo wewe.
Huna kazi ya kufanya au
Sent using Jamii Forums mobile app