Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Tufanye sina nnazooperate wala nnazo kichwan..ili yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sina ubishani na wewe, nimekuelewa na ninalisapoti wazo lako kwa 100%.

As a man, umeandika the most interesting thing to me, huwezi amini muda wote nilipokuwa naisoma thread nilikuwa naona kama umeniandikia mimi straight.

Najipa muda kuacha upepo upite, vijana waje wajaze PM (najua watakuja kukujaribu), baada ya muda ndo nilete proposal yangu mezani tuone tunaijadili vipi, of course we will be having a lot to talk and negotiate.

Kwa hiyo dondoo kama hizo ni muhimu kwangu nikiwa najipanga pia.
 
Back
Top Bottom