Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki

Swali ni kwanini wavuke ilhali taa haziruhusu??
Kuna kitu serikali inasahau sana .elimu ya matumizi sahihi ya taa za barabarani haswa kwa wapita kwa miguu..watu wengi wakishaona zebra wanahisi Wana haki ya kuvuka muda wowote hata taa hawaangalii..unakuta taa imewaka kijana lijitu linakatiza zebra utafikiri yuko chumbani kwake
 
Bodaboda wengi ni vijana zaidi ya miaka 18. Usituongopee. Hapa bongo miaka 16 bado wanafunzi. Hakuna mzazi ataruhusu mwanaye awe boda boda kwa umri huo. Marehem suka alikua mhindi.
Umri wa marehemu umetajwa kuwa ni 17, acha kelele kama hujui nyamaza tu, huo umri ni wa mtoto
 
Back
Top Bottom