Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini
1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na katiba yetu ni ya kidemokrasia jeshi la wananchi hakitakubaki chaguzi zisizo za huru na haki
2. Kadinali wa katoliki Protase Rugambwa. Huyu ni mkuu wa kanisa katoliki ambalo pamoja na waumini wengi ndilo kanisa lenye wekezaji mkubwa kuliko shirika lolote Tanzania la binafsi au la umma. Atoke aseme hivi
Kanisa kitatoa tamko kwa wakatoliki wote na wapenda imani kwamba wasishiriki chaguzi zozote kabla ya sheria kurekebishwa na kanisa litasimamisha shughuli zote nchini ambazo ni pamoja na mashule, mojospitali na mambo yote ya kanisa mpaka pale chaguzi ziwe za huru na haki
Kati ya hawa wawili wakitoka na kusema hivyo kesho hii nchi itabadilika. Hivyo tushinikize hawa wawili kufanya hivyo kwa maslahi ya taifa kabla nchi hii haijawa ya familia tatu