Nije nikubebe? au hujaumia sana?Jiwe limenipata
Vifungo vya nafsiWadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!
Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara huu hutoka wapi? Je huwa wanakosea wapi?
Nimeona wadau wengi sana kukumbwa na kuyumba kiuchumi miezi kadhaa tu baada ya kuoana! Ingawa hali hii huwa haidumu zaidi ya miaka miwili kwa wavumilivu.
Mi UCHUMI umeimarika, lakini cha moto nakiona kwa dada huyu wa KIGWENO.
Wengine wanachukua mkopo kwa ajili ya ndoa, akimaliza ndoa inakuja jukum LA kulipa hapo ndo wanaisoma namba.
Wakati kule kwa binti hajamuekeza km alikopa sbb ya harusi
Ni kipindi cha mpito huwakumba wengiWadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!
Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara huu hutoka wapi? Je huwa wanakosea wapi?
Nimeona wadau wengi sana kukumbwa na kuyumba kiuchumi miezi kadhaa tu baada ya kuoana! Ingawa hali hii huwa haidumu zaidi ya miaka miwili kwa wavumilivu.
Kaka lakini swala la kutoelewana linakujaje wakati ndoa changa? Ninachosema, ni ile hali kama ni biashara zinayumba au kama ni kazi inatokea migogoro n.k..pamoja na sababu zingine, wengine wanawekeza kwenye sherehe na sio ndoa!
..lakini pia inaweza kuwa wakati wa mpito, ndani ya mwaka mnaweza msifanye kitu tangible, mkitulia tu mnaona mambo yanakaa sawa.
...wakati mwingine watu hukosa kuelewana ndani ya nyumba, hiyo inasababisha msiwe na maendeleo.
Mara nyingi kushindwa kwenu mchawi aweza kuwa nyie wenyewe.
Kaka! Ebu tueleze chanzo huwa ni nini? Ebu tafta kwenye nondo zako navyokufaham hutakosa majibuNi kipindi cha mpito huwakumba wengi
FafanuaNdio maana unatakiwa kupiga ndondo za maana mpaka uhakikishe kweli ni kismati unabeba ikiwa mbaya unaachana nayo