Watu wanaofilisika punde tu baada ya kuoana, tatizo huwa ni nini?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Wadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!

Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara huu hutoka wapi? Je huwa wanakosea wapi?

Nimeona wadau wengi sana kukumbwa na kuyumba kiuchumi miezi kadhaa tu baada ya kuoana! Ingawa hali hii huwa haidumu zaidi ya miaka miwili kwa wavumilivu.
 
Vifungo vya nafsi
 
Wengine wanachukua mkopo kwa ajili ya ndoa, akimaliza ndoa inakuja jukum LA kulipa hapo ndo wanaisoma namba.

Wakati kule kwa binti hajamuekeza km alikopa sbb ya harusi
 
Tatizo hapo ni kumtajia kipato chako chote unachokipata kwakudhani unampenda sana na ukifanya tu hili kosa kwa wanawake lazima ufilisike coz kwa wanawake matumizi huwa hayaishi. Ni bora umdanganye ili kile kiwango cha fedha kinachobakia kiwe kama cha emergency.
 
Ndio maana unatakiwa kupiga ndondo za maana mpaka uhakikishe kweli ni kismati unabeba ikiwa mbaya unaachana nayo
 
Wengine wanachukua mkopo kwa ajili ya ndoa, akimaliza ndoa inakuja jukum LA kulipa hapo ndo wanaisoma namba.

Wakati kule kwa binti hajamuekeza km alikopa sbb ya harusi

Mkuu umenena.Hayo NI maarusi ya 30-40M
Au kuoa bila uwezo Na Vilevile kuoa Au kuolewa Kwa kujionesha Na kujaza mitandao ya kijamii.
Kingine walikuwa hawapendani Kwa DHATI
 
Wadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!

Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara huu hutoka wapi? Je huwa wanakosea wapi?

Nimeona wadau wengi sana kukumbwa na kuyumba kiuchumi miezi kadhaa tu baada ya kuoana! Ingawa hali hii huwa haidumu zaidi ya miaka miwili kwa wavumilivu.
Ni kipindi cha mpito huwakumba wengi
 
..pamoja na sababu zingine, wengine wanawekeza kwenye sherehe na sio ndoa!

..lakini pia inaweza kuwa wakati wa mpito, ndani ya mwaka mnaweza msifanye kitu tangible, mkitulia tu mnaona mambo yanakaa sawa.

...wakati mwingine watu hukosa kuelewana ndani ya nyumba, hiyo inasababisha msiwe na maendeleo.

Mara nyingi kushindwa kwenu mchawi aweza kuwa nyie wenyewe.
 
Kaka lakini swala la kutoelewana linakujaje wakati ndoa changa? Ninachosema, ni ile hali kama ni biashara zinayumba au kama ni kazi inatokea migogoro n.k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom