Watu wanao heshima mitandaoni ni hawa?

Watu wanao heshima mitandaoni ni hawa?

Nimekusoma vema mkuu. Hii tabia inakera hasa unamtext mtu unaona blue tick lakini hajibu na kila dakika yuko online. Kuna mmoja aliwahi kuweka status ya kujiwish happy birthday nikareply Happy birthday to you brother. Mpaka mwakani hajawahi kujibu ile comment na hiyo ilikuwa january mwaka jana. Nilipoona hivo nikamblock pande zote. Akiwa na shida na mimi lazima anifuate physically maana hata akitumia simu ya mtu nikijua ni yeye huwa namjibu niko busy aje nyumbani. Zipo sababu zilizonifanya niwe hivo hiyo nimojawapo.
Mie ukishajiroga tu uanze Kuni bluetick masikin yako hiyo ego yako itakuponza nasubiri ukwame kwenye shida muhimu then na kuignore utajua hujuii [emoji1][emoji1]
 
Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni?


N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram

#stayhome #coronaSent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tuangalie Status za watu ili iweje Sasa kwa mfano?? Kwani ni lazima??

Kijana una umri wa miaka mingapi??
 
Yaani hapo unaweza kutesa roho ya mtu vibaya sana...
Climax inafikia anapo kuuliza mbona huweki status au mbona huangalii status zangu....


Mods pigeni pini huu uzi...
Nimesoma huu uzi ..... Nimecheka na kusikitika kwa wakati mmoja. 😂😭😂
 
Back
Top Bottom