Watu wanao heshima mitandaoni ni hawa?

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni?

N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram

#stayhome #coronaSent using Jamii Forums mobile app
 
Uji mtupu, umeandika nini?
 
Write your reply...Write your reply...ukiwa na low IQ au kilaza huwezi elewa alichoandika mtoa mada hata kama ni pumba

lazima uwe na uwezo wa Ku process uwezo wa kumsoma mtu na kumchanganua

mtoa mada nikujibu mada yako tu kupost au kutopost haku onyeshi character yako maana hivo vitu ni kama options tu mbona kuna watu wananunua binadamu wenzao still wanapost status za dini na maneno ya mungu
 
Yaani hapo unaweza kutesa roho ya mtu vibaya sana...
Climax inafikia anapo kuuliza mbona huweki status au mbona huangalii status zangu....

Mods pigeni pini huu uzi...
 
Watu wanao heshima mitandanaoni ni hawa?

basi mi nikajua chini nitakuta list ya hao watu imewekwa ili wadau tufanye matching item.
 
Mimi Nina low IQ ngoja nikae kmya 😂😂😂😂😂 watu Wana jimwambafai na miandiko yao ya KE
 
Unaweza ukawa haupost status ila bado ukawa haujiheshim sidhan kama kutokupost ni kipimo cha kujiheshem

Japokua mm nipo upande wa wale ambao huwa hatupost status Mara kwa mara na siangalii status za mtu anaeweka status nyingi kwa siku kila baada ya lisaa lakin kupost kwao haimaanishi hawana tabia njem

GunFire
 
Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni?

N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram

#stayhome #coronaSent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma vema mkuu. Hii tabia inakera hasa unamtext mtu unaona blue tick lakini hajibu na kila dakika yuko online. Kuna mmoja aliwahi kuweka status ya kujiwish happy birthday nikareply Happy birthday to you brother. Mpaka mwakani hajawahi kujibu ile comment na hiyo ilikuwa january mwaka jana. Nilipoona hivo nikamblock pande zote. Akiwa na shida na mimi lazima anifuate physically maana hata akitumia simu ya mtu nikijua ni yeye huwa namjibu niko busy aje nyumbani. Zipo sababu zilizonifanya niwe hivo hiyo nimojawapo.
 
Unaweza ukawa haupost status ila bado ukawa haujiheshim sidhan kama kutokupost ni kipimo cha kujiheshem

Japokua mm nipo upande wa wale ambao huwa hatupost status Mara kwa mara na siangalii status za mtu anaeweka status nyingi kwa siku kila baada ya lisaa lakin kupost kwao haimaanishi hawana tabia njem

GunFire
😂😂😂 Unakuta kale kamstari ka status kamejaa mpaka kametengeneza kama duara kabisa (30 post tena videos)
 
Write your reply...Write your reply...ukiwa na low IQ au kilaza huwezi elewa alichoandika mtoa mada hata kama ni pumba

lazima uwe na uwezo wa Ku process uwezo wa kumsoma mtu na kumchanganua

mtoa mada nikujibu mada yako tu kupost au kutopost haku onyeshi character yako maana hivo vitu ni kama options tu mbona kuna watu wananunua binadamu wenzao still wanapost status za dini na maneno ya mungu
kuna vijana wamekariri namna ya kucomment kumbe sometimes wanadhihirisha uvivu wao
 
Back
Top Bottom