HURIS
Member
- May 18, 2019
- 72
- 60
Mziki uliopangiliwa hautoi kelele labda iyo club uliyo enda ina music sytem ya ovyo.Hata mimi napenda mziki lakini sio wa sauti kubwa hadi iwe kero
Mziki uliopangiliwa hautoi kelele labda iyo club uliyo enda ina music sytem ya ovyo.Hata mimi napenda mziki lakini sio wa sauti kubwa hadi iwe kero
Mimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama haya maana kuna kelele hadi mtu unahisi kuzimia. Lakini nashangaa kuna watu wengine kila weekend wa naenda club. Sijui huwa wanafuata nini maana kama starehe kukaa nyumbani ku watch movie au kuenda kupumzika sehemu ya utulivu ni starehe nzuri kuliko yale makele ya kule club. Mimi sipendi tu zile kelele za mziki zinazo changanyika na sauti za watu za hovyo. Hivi ni kweli mnapata starehe kule?
Japo mimi siyo mpenzi wa kwenda club ila kusikiliza miziki ninayoipenda ni starehe kubwa mno kwangu tena ikiwa kwenye sauti kubwa hata earphones huwa nanunua zenye sauti kubwa na huwa nazijaribu pale pale dukani kabla sijazinunua yaani kwangu mimi miziki ni sehemu ya maisha yangu
Ushasema kuna watu kwamba tayari umeonesha utofauti so kila mtu ana starehe yakeMimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama haya maana kuna kelele hadi mtu unahisi kuzimia. Lakini nashangaa kuna watu wengine kila weekend wa naenda club. Sijui huwa wanafuata nini maana kama starehe kukaa nyumbani ku watch movie au kuenda kupumzika sehemu ya utulivu ni starehe nzuri kuliko yale makele ya kule club. Mimi sipendi tu zile kelele za mziki zinazo changanyika na sauti za watu za hovyo. Hivi ni kweli mnapata starehe kule?
We kama mm tu yaani lounge ndo nahis kama niko club tuSiku hizi ndo sienjoy club ila enzi zangu club zilinitambua.
Tulikua tukienda club na rafiki zangu tunatoka wa mwisho. Tunacheeeza wee na kucheza na kesho tunarudi tena.
Toka nimeanza kuwa mnywaji club naona kama mizinguo. Nikitaka mziki naenda zangu bar yenye mziki mzuri au lounge.
Lounge zenye mziki mzuri na pombe wala huoni tofauti unaona kama uko club tuuWe kama mm tu yaani lounge ndo nahis kama niko club tu
Yeah ni kweli usemayo mamaangu na wafanyabiashara wengi washagundua hii kitu ndo maana hawawekezi sana kwenye kufungua club na wanainvest sana kwenye lounge na inawalipa sana tu.Lounge zenye mziki mzuri na pombe wala huoni tofauti unaona kama uko club tuu

Mimi huwa najiuliza ga hivi mnaoenda club au tamasha ya mziki ni huwa mnafuata starehe au kuna vitu vingine mnafuata. Mimi nilijaribu siku moja tu nikasema haitakuja kutokea tena kuja maeneo kama haya maana kuna kelele hadi mtu unahisi kuzimia. Lakini nashangaa kuna watu wengine kila weekend wa naenda club. Sijui huwa wanafuata nini maana kama starehe kukaa nyumbani ku watch movie au kuenda kupumzika sehemu ya utulivu ni starehe nzuri kuliko yale makele ya kule club. Mimi sipendi tu zile kelele za mziki zinazo changanyika na sauti za watu za hovyo. Hivi ni kweli mnapata starehe kule?
Club acha kabisa Mkuu mie mpaka wanafunga na muda wote utanikuta kwenye dancing floor nafanya yangu. Nikitoka hapo roho yangu kwatuuuu nyeupeee. Acha kabisa Mkuu halafu ukutane na DJ anajua kupanga debe.
Kasie mnyamwezi njoo huku umwage radhi zako.
Ntarudi B to the K, wacha nimalizie to do list.
I have a special week coming on my way....
To start with, tonight is tonight.....
Laters.
kuangalia movie mkuu sio mpaka iwe home sikuiz kuna ma sinemax ni wewe tu na hobie yako ya matumizi ya elakuangalia movie ndani ni tofauti nakutoka nje...zote starehea lakini zinatofautiana so zoet muhimu..kaa tu uangalie movie utakuwa hujakua au hujapangailia tu hela ya nje.....nje kuna raha yake...ile miziki ile matamsha mfano ile ya kila mwaka sijui fiesta siiwezi na sijawahi enda kwa kuwa kwangu ni vurugu.ila club nikae tu kona moja ninwe bia huku nikichora watu hasa mademu wanavojibinua au niwe na manzi niko nayo pembeni nafaidi music tu...au niwe bar
Hahahahhaaa don't tell me you've waited this long....
In the middle of the Dancing floor.....