Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Club acha kabisa Mkuu mie mpaka wanafunga na muda wote utanikuta kwenye dancing floor nafanya yangu. Nikitoka hapo roho yangu kwatuuuu nyeupeee. Acha kabisa Mkuu halafu ukutane na DJ anajua kupanga debe.
Kasie mnyamwezi njoo huku umwage radhi zako.
Hahahahahaaa you know what BAK, goose pimples on..... Black Box umenikumbusha mbalii, kuruka majoka bila kujali wapi utakanyaga....
Thanks man.