Watu wanajua kuhonga nyie

Hakuna cha maisha yenu magumu wala nini ni upumbavu wa baadhi yenu, hasa huyo kazijulia ukubwani unategemeq nini maamuzi yote anayafanya kwa kutumia genye
 
Waliposema kuwa uyaone .. walimaanisha mapenzi na majukumu .. na sio maghorofa.
 
Nimecheka hapo Pa kutokea Mbinga, kwamba Wamatengo ni washamba wa nyapuu au?

Pia Mke Engineer ana sura ya kutisha kuliko wajomba zake, hivi mnawazaga nn? Kuna ma engineer ni pisi kali na ma handsome, mjue.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Jama anarogwa kazini kwake anakuja kufariki ghafla"
Tusali sana aiseee!! Vita ni vikali
 
Nimecheka hapo Pa kutokea Mbinga, kwamba Wamatengo ni washamba wa nyapuu au?

Pia Mke Engineer ana sura ya kutisha kuliko wajomba zake, hivi mnawazaga nn? Kuna ma engineer ni pisi kali na ma handsome, mjue.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu. Yani uzuri na akili ni maadui wakubwa. Simba na yanga haviΓ³ni ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…