mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,492
keh keh keh, safari hii za buku buku ni za kumwaga...!!!Kidumu au kidume? Juzi nimekutana na sistadu moja aliyeondoka kijijini miaka 12 iliyopita baada ya kupata buzi dar, anafanya uchuuzi wa vitenge na kanga na anataka kurudi kijijini, nimemuuliza kulikoni kasema jamaa mkorofi wakati najua jamaa mirija imebuma. Nilimwahidi nitampa heka mbili za kulima viazi, ili apauke vizuri na vijana wa poti wamzukie na kumwoa. Kazi tu hapa, vi appartment, harrier, ist nk sasa hivi hakuna wahongaji, akitaka bia ni mtindo wa bingwa,mzinga wa konyagi au balimi tu, akitaka henken/windhoek apuyange zake huko.