Watu wanahama Dar si mchezo, kuna nini huko?

atakayebaki dar hadi juni ni mwanaume.. in jpm voice

wanawake wameamua kurudi kijiji wanabaki wanaume!
 
Kwa hiyo unataka kuniambia woote hawa wanakimbilia kibiti na ikwiriri.
kurudi Dar.jpg
 
Kama mtu maisha yanamshinda Dar huko ndio ataweza?
Huku kila kitu bei rahisi
Dar sasa tatizo nini? Mkuu hebu nipe bei ya Mchele, sukari na unga wa mahindi
huko Dar.
 
Sawa picha ni ya wakimbizi ambayo imepamba tu kuonyesha tendo la kuhama
ndio maana sijasema kuwa hawa wanatoka Dar kwenda sehemu fulani.
Ungeandika bac picha hii haiusiani na habar hii.
 
View attachment 511948

Binafsi nina ndugu zangu watatu ambao wameamua kurudi nyumbani baada
ya Maisha ya Dar kuwashinda, sio Jambo la kushangaza lakini tatzo safari hii
imekuwa too much Ukiacha hao kuna watu kadhaa ambao waliadimika kwa
miaka mingi nao wanarejea nyumbani mbaya zaidi wengine wamekuwa wakifanya
fujo kugombea mashamba na mali nyingine za urithi ambazo hapo mwanzo
hawakuwa na mpango nazo. Kunani Dar kwanini watu wanalikimbia jiji?

Mkuu una maana gani kutuwekea Picha ya Wakimbizi wa Kinyarwanda na Kiburundi ambao walikuwa wakikimbia mauaji ya Kimbari ya 1994 halafu unahusisha na kutudanganya kuwa hao ni wana Dar es Salaam wana hama mji? Kwanini unatukumbusha ' machungu ' ya Mauaji ya Kimbari ya 1994?
 
Tutaofika mwezi wa nane ndo tunastahili kubaki Dar, kasikilize Remmy Ongala narudi nyumbani, Dar sio mchezo.
RRONDO, nimerekebisha, dah!
 
Mkuu una maana gani kutuwekea Picha ya Wakimbizi wa Kinyarwanda na Kiburundi ambao walikuwa wakikimbia mauaji ya Kimbari ya 1994 halafu unahusisha na kutudanganya kuwa hao ni wana Dar es Salaam wana hama mji? Kwanini unatukumbusha ' machungu ' ya Mauaji ya Kimbari ya 1994?
Nimeedit mkuu nilitafuta tu picha ya mfano, lakini hiyo ni ya wakongo
 
Wanahofia kutumbuliwa kwan hawana kazi maalumu
Hakuna wa kuwatumbua bali wanajitumbua wao baada ya kukosa hela ya kijanja janja,kimkato mkato na kidili dili kukidhi mahitaji yao na ziada ya kula bata batani. Heshima itarudi tu mtaani kama bado unadhani haijarudi, hahahahaaaaaaa!!
 
Inawezekana mkuu maana huyu mmoja alikuwa Dalali mzuri sana.
 
Back
Top Bottom