Watu wamiminika kwa wingi kwenda kupata utajiri wa haraka Meatu - Simiyu

God is every things
 

Attachments

  • 1429085368641.jpg
    1429085368641.jpg
    53 KB · Views: 535
Wafanyabiashara wakubwa wa maduka ya jumla katika Miji ya Arusha, Mwanza, Musoma, Bariadi, Shinyanga, kahama, Nzega na Igunga wamefika kwa bibi huyo.
[/SIZE]

hayo maeneo yaliyotajwa hapo juu ndo yanaongoza kwa iman za ushirikina na mauaji ya albino. na huko ukitaka kupata utajiri wa haraka wadanganye watu kuwa una dawa ya utajiri. Utawalisha hadi mavi watakula halafu wanakukabidhi mifungu ya pesa. kweli ujinga ni mzigo
 
Wakuu salamu.

Idadi kubwa ya watu wanamiminika kwenda Wilaya ya Meatu Kata ya Mwandoya kwa bibi kupata Ndagu ya utajiri.

Watu kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, wakiwemo wafanya biashara, wafanyakazi, wakulima na wafugaji wamefika kwa bibi huyo kupewa dawa ya utajiri.

Wafanyabiashara wakubwa wa maduka ya jumla katika Miji ya Arusha, Mwanza, Musoma, Bariadi, Shinyanga, kahama, Nzega na Igunga wamefika kwa bibi huyo.

Waliofanikiwa wanarudi na magari, mabati na pesa za shukrani kumshukuru bibi huyo.

Hivi huwezi kupata utajiri mpaka utumie ushirikina?

"Umekula maharage ya wapi yulee"
 
Mtamtembelea nijionee. Kama akiweza kuipa utajiri nchi yangu TZ na wananchi wake wakawa matajiri kufikia tu angalau uchumi Wa kati, basi ndipo nitaamini kuwa uchawi unahusika ktk mafanikio
 
Yeye huyo bibi mbona asijitajirishe yeye kwanza ndo awagawie wengine! wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom