Watu wamedata !!!

Watu wamedata !!!

Aisee leo Nilikuwa maeneo hayo kwa Mawinga wa simu Nilikuwa nabadilisha protector 🤣🤣🤣

Pale kwenye mgahawa wanapika vitu yummy yummy 😋😋😋

Kuna dogo anaitwa Maboko hapo 😂😂😂
MANDI au
 
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi 😂

Uzi bado!!
Kila ninayemwona ni wife material analeta nyuzi za namna hii, naomba mnishauri!
 
Am taken mkuu
Labda uongee vizuri na Intelligent businessman 😂
Joanah Mwambie akacheze anapo chezaga, cause I will always be ❤️😊.
Screenshot_20250623-205330_2.jpg
 
Ni kawaida wanaume kulala tukiwa tumeweka mkono kulinda mali maana tunathamini sana hizo Nuts ndo kitu pekee inatupa heshima sisi tusio na pesa sasa inawezekana ukatafsiri vibaya akiwa anajikuna
 
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi 😂

Uzi bado!!
Mkiombwa hamtoi sasa tufanyeje??
Kimfaacho mtu chake🤣🤣
 
Back
Top Bottom