Watu wamedata !!!

Watu wamedata !!!

Awapi anatuzuga tu aonekane yupo Israel ili matukio anayopiga tusimhisi yeye , juzi kati kapokea mrembo dar kimyakimya, uzuri mrembo hana kifua kaja kumshukuru jamvini. Leo tena kanaswa na joanah, mkimpiga vizuri joanah atawatajia jina lake
😅😅😅 Mnachafua kisiasa nyie, yupo mstari wa mbele kabisa
 
Yuko mmoja hapa ungalited karibia na samunge ukipita jioni jioni anakiwasha hadharani hadi wamama wanamkimbia
 
Back
Top Bottom