Watu wamedata !!!

Watu wamedata !!!

Sikupiga picha manake nimestuka mixer kushangaa kuona mtu kalala chali vile barabarani mkono upo ndani ya suruali huku kafumba macho 😂

Sijui kichaa yule
😂😂😂😂 nimechekaa km chizi vilee. Lol
 
Pale kati kati ya kituo cha msimbazi A na B yupo jamaa alikua akimaliza misele yake anaenda pale anakiwasha weeee wakaja(ga) kumtimua
Aisee leo Nilikuwa maeneo hayo kwa Mawinga wa simu Nilikuwa nabadilisha protector 🤣🤣🤣

Pale kwenye mgahawa wanapika vitu yummy yummy 😋😋😋

Kuna dogo anaitwa Maboko hapo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom