Watu waliokufa wakiwa na siri kubwa

Watu waliokufa wakiwa na siri kubwa

Safi sana huyo jamaa wa kwanza angeudidimiza sana uchumi wa nchi za kiarabu mfano kutoka Dsm mpaka mwanza zaidi ya 1110 Kilometres sawa na miles 700 (approx) gari lingetumia lita 23.56 pekee kufika mwanza.
 
Nikola Tesla Death Ray.
Katika wavumbuzi na wanasayansi ambao waliwahi kuishi, huyu jamaa ni kiboko maana alikuwa na akili ya ajabu sana. Kwangu mimi ni best and ana simama at the top of my list.
Huyu jamaa bwana kabla hajafa alidai kwamba amegundua njiainayoweza safirisha umeme mkubwa kupitia njia ya anga yani kama ambavyo mawasiliano ya simu za mkononi yanavyo safirishwa wirelessly.
Lakini kwa wakati huo hakuwa ameshaanza kutengeneza kifaa kwa ajili ya kazi hiyo, na bahati mbaya akafariki jambo la kustaajabisha karatasi zilizokuwa na michoro na notisi za vumbuzi zake zilipotea katika mazingira ya kutatanisha.

Umeme upo mwingi sana na upo kilamahali duniani, upo accessible na ni very cheap. Watu wanaojiona kua hii ni dunia yao na wao ndio wenye kuimiliki wame conspire na kufanya umeme kua ni kitu adimu(scarce) na hivo kua bidhaa inayowatengenezea mabilioni ya dollar za kimarekani

Mtu yoyote kama ilivokua kwa Nikola Tesla akisimama kwenye njia yao anamalizwa kimyakimya
 
Niongezee.........

Mwl. Nyerere alianzisha kitu kinaitwa "African Sociallism". Amekufa na siri nzito kuwa ndani ya " Free Market Economy & Globolization" kamaWatz tufanye nini ili tuendeleze Ujamaa ndani ya hii dunia ya sasa. Matokeo yake tumeyaona, na yanatutafuna kwa kubuni serasera ambazo ni "Non- descriptive" mfano: Serikali ya Viwanda( hapa haijengi), + Wawekezaji wajenge na kumilki viwanda: Katika nchi ya Kijamaa, hivi ni vitu quiet antagonistic.
 
Safi sana huyo jamaa wa kwanza angeudidimiza sana uchumi wa nchi za kiarabu mfano kutoka Dsm mpaka mwanza zaidi ya 1110 Kilometres sawa na miles 700 (approx) gari lingetumia lita 23.56 pekee kufika mwanza.
Nauli pia zingekuwa nafuu
 
Safi mleta mada....
Nikola Tesla alivumbua vitu vingi mno ....infact...alikuwa ana program ya kutengeneza umeme kupitia mwanga/hewa...namquote "there will be a free energy for every one everywhere"...but kabla hajamaliza hii project.... maana alishaanza kutengeneza mnara....akafa.... bahati mbaya hakuwa mtu wa kuandika sana formula za uvumbuzi wake....hata hizi simu android tunazotumia ni idea yake....
 
Waliotengeneza baadhi ya magari walikufa kabla hawajamalizia kazi yao maanailikuwa ni siri zao,viherehere wakajitia vimbelembele kumalizia kazi zilizoachwa siri na marehemu.

Gari kama Pajero GDI, Isuzu horn,Noah vox,ukinunua Mojawapo ya hizo Gari ujue umefunga nayo ndoa ya kikristo,yaani itakuwa ya kwako mpaka kifo kiwatenganishe.
 
Fa
Waliotengeneza baadhi ya magari walikufa kabla hawajamalizia kazi yao maanailikuwa ni siri zao,viherehere wakajitia vimbelembele kumalizia kazi zilizoachwa siri na marehemu.

Gari kama Pajero GDI, Isuzu horn,Noah vox,ukinunua Mojawapo ya hizo Gari ujue umefunga nayo ndoa ya kikristo,yaani itakuwa ya kwako mpaka kifo kiwatenganishe.
Fafanua
 
Hiyo inafahamika jinsi ya kutengeneza, kwakuwa maji ni h2o so kinachofanyika ni kwamba kuna process inaitwa electrolysis inayoweza tenganisha hydrogen na oxygen, kama ujuavyo hydrogen ni gas yenye nguvu inayowaka moto kirahisi na kulipuka so inaweza tumika katika kuendesha gari, lakin jambo hili linahitaji nguvu kubwa kutenganisha maji upate oxygen na hdrogen.
Nguvu hiyo kuipata utatumia chanzo kikubwa cha energy kuliko matokeo ya hydrogen utakayopata hivyo basi gari linalotumia maji ni kama freud flani hivi.
Kama kweli unaweza jambo hili, ningekuwa wewe ningemtafuta mtu mmoja mwaminifu na ninaye mwamini na mwenye uwezo wa kuniunganisha na makampuni ya nje kisha kufanya hii kitu, yaani Tanzania waje kupata sifa kuna mtanzania anatengeneza magari ya maji huko nje kisha wanasiasa wapate sifa na wananchi washangilie tu. Nina wazo nafikiria kulifanya kwa staili hiyo ili kuitangza nchi yangu kwa FAIDA (nifaidike vya kutosha) na siyo kuitangaza kwa HASARA (unabaki sifiwa ila hupewi kipao mbele na sheria kandamizi kibao) kama baadhi wanavyofanya sasa.
 
Back
Top Bottom