Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
-
- #81
Kama unakukera si uache kusoma,, we kama huwanyanyapai lala naoMama sabrina kama hutojali omba [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wafute huu uzi..imgne tu mgumba anahis kunyanyapaliwa seuze muathirika wa hiv!!...peace
Si kweli mkuu ingawa Mimi si daktari Mimi ni dada wa kwetu Kwamtogole
Kuna sehemu nimesema ninanyapaa,,watu wengine mnajua kusoma tuHakuna ajuaye kesho,na wote walioupata hawakupenda waupate,na unaweza ukaondoka dunian huyo akabak au hao uliwasema kwa mujibu wa maelezo yako wakabak kula maisha,siyo jambo zur kumnyanyapa Mtu kwa maradh aliyonayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Take it from me mimi si daktari unaniamini Mimi au hao?Si nasikiaga wanasema wewe doctar? Kila thread ya mambo ya afya hukosagi kuchangia chochote
HahahahahahTake it from me mimi si daktari unaniamini Mimi au hao?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyama tamu
Kama unakukera si uache kusoma,, we kama huwanyanyapai lala nao
UmeniboaHahahahaha,,,mbona mi nanyonywa lakin hababuki bana
Wewe kwani kioo ni Kipimo cha HIV?Yaani umesababisha nijichungulie kwenye kioo
Wanakula yale mavitu ya wanaume pia ni sababu ya midomo kubabuka, hii husababishwa na acid iliyopo kwenye maniiHapana nikimuhisi mtu kaathirika inakuwa kweli kabisa na wengi midomo yao inababuka
Mimi bibi yangu anaumwa kisukari mbona hajababuka mdomo
Si huyu mama sabrina anatutisha.Wewe kwani kioo ni Kipimo cha HIV?
Kwani mi sijuii,,hakuna kuficha,,hata mi nishazika ndugu zangu walioathirika,,na kuna wengine wameathirka pia kama wawili,na niko nao poa poa,,mi natoa tahadhalisamahani mamy sijasema unanikera ..unafadhaisha kwa namna 1 au nyingine! am sorry,...
Waathirika wanavyokuaga wazuri wewe tena wanapendeza hawana ndonyaSi huyu mama sabrina anatutisha.
Sikutishi ukiona demu kababuka mdomo kimbia au pimeni kwanzaSi huyu mama sabrina anatutisha.