Watu walewale kuongoza CHADEMA wataleta mabadiliko?

Watu walewale kuongoza CHADEMA wataleta mabadiliko?

Na kweli mkuu kama ilivyo Miaka 58 CCM ile ile italeta Mabadiliko?
 
Nilikuwa najiuluza the same. No excitement at all.
Siyo Mnyika, wala Kigaila. Nafikiri kuliitajika new faces new people. This shows how good knowledgable people do not exist anymore at the party.
 
CCM mbona makamu mwenyekiti mzee mangula yupo miaka mingi na CCM inatumia mbinu zile zile za uchakachuaji kuudhofisha upinzani wapate kurejesha mfumo wa chama kimoja, ni kwa nini CCM ndiyo wanaumia juu ya uchaguzi wa chadema kuliko wana chadema wenyewe? Kama chadema Uongozi ni ule ule wekeni tume huru ya uchaguzi rejesheni uhuru wa kufanya siasa muone matokeo yake acheni wananchi ndiyo wapime siyo CCM kuendelea kuhujumu upinzani kutwa kisha kuja na visingizio vya kizamani sana
 
CCM inayoweka viongozi wapya kila muhongo ina jipya gani? zaidi ya kubadili staili za ulaji na udisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM miaka 58 bila maendeleo wakati ni Nchi tajiri yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Tanzania isingekuwa chini ya utawala wa CCM leo hii ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa na hata Nchi za ulaya.
 
Back
Top Bottom