Watu walewale kuongoza CHADEMA wataleta mabadiliko?

Watu walewale kuongoza CHADEMA wataleta mabadiliko?

Nje ya mada ingine hii hapa, washauri wa CCM juu ya vitendo vya hovyo dhidi ya wapinzani ni walewale wazee akina Le mutuz na wenzao ndiyo maana mbinu za CCM kurejesha mfumo wa chama kimoja unafeli sana kutokana na kuongozwa na wazee waliosheheni mbinu zilezile za mwaka 1947
 
Hata Bashite amekuwa akipotoka kauli zake kutokana na kuwatumia washauri wa CCM akina cyprian Musiba, le mutuz na wenzao ambao hawapo kisasa
 
CCM mbona makamu mwenyekiti mzee mangula yupo miaka mingi na CCM inatumia mbinu zile zile za uchakachuaji kuudhofisha upinzani wapate kurejesha mfumo wa chama kimoja, ni kwa nini CCM ndiyo wanaumia juu ya uchaguzi wa chadema kuliko wana chadema wenyewe? Kama chadema Uongozi ni ule ule wekeni tume huru ya uchaguzi rejesheni uhuru wa kufanya siasa muone matokeo yake acheni wananchi ndiyo wapime siyo CCM kuendelea kuhujumu upinzani kutwa kisha kuja na visingizio vya kizamani sana
Kamanda kama ameleta mafanikio hata miaka 50 abaki,hao akina Mbowe wameonesha kushindwa unafikiri wana jipya?wanafundishika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada ingine hii hapa, washauri wa CCM juu ya vitendo vya hovyo dhidi ya wapinzani ni walewale wazee akina Le mutuz na wenzao ndiyo maana mbinu za CCM kurejesha mfumo wa chama kimoja unafeli sana kutokana na kuongozwa na wazee waliosheheni mbinu zilezile za mwaka 1947
Kamanda jielekeze kwenye hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko ndani ya Chadema ni Ndoto. mpaka watakapo kifanya chama kiwe cha wananchi wote. As long as chama kitaendelea kuwa cha mwenyekiti mstafu na Mbowe hakuna mabadiliko tutayopata hapo.
zaidi wanajilia pesa za ruzuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Nilitaka tujifikirishe kidogo; kumetokea mjadala ulioanzishwa na Mbowe na wafuasi wake eti Chadema sasa ina uongozi mpya, watu wenye ''kaliba'' mpya ambao wataleta mabadiliko kwenye siasa za upinzani.

Ili kutenda haki nitaweka majina ya uongozi huo ili sasa tupate wasaa wa kuwajadili kuwa wameingia lini Chadema na walikuwa na nyadhifa gani wakafanya nini na je sasa wataweza kuwa mawakala wa mabadiliko?

1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe
2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed
3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu
4. KATIBU MKUU - John John Mnyika
5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila
6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim

Katika orodha hapo juu bila kupepesa macho inatengenezwa na watu ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu Chadema kwa takribani muongo mmoja uliopita, hao ni watu waliofanya maamuzi mazito ikiwamo ''kutakatisha oil chafu''.

Wazungu wana msemo wao ''You can't teach an old dog new tricks'' wakimaanisha ''watu waliozoea kufanya mambo yao kwa njia fulani hawawezi kuacha tabia zao'' Je, viongozi hawa wa miongo kadhaa ndani ya Chadema wataacha tabia zao za kale? watafundishika?

Waswahili wanasema tabia ni kama ''Tabia ya mtu ni Kama ngozi ya mwili mwili wake. Kuibadili ni kazi kubwa sana. Ukilazimisha, utaendelea kupata matokeo yaleyale'', wengi mnamkumbuka Michael Jackson (Aliwahi kuwa gwiji la muziki, marehemu kwa sasa) alibadili ngozi lakini asili ikabaki palepale zaidi alipata maradhi na kifo, hakuwahi kufurahia ngozi ya kizungu, hata hawa viongozi wanaitwa ''wapya'' huenda wame-jichubua kitakachifuata ni maumivu kama ya Michael Jackson na hata kupelekea ''kufa kisiasa kabisa.

Huu ni mjadala wenye lengo la kuweka sawa watu, ifike pahala wanasiasa wasitumie usahaulifu wa wananchi kuwahadaa.
Hivi unajua weye huwa hauna tofauti na makalio ya ngedere!?Akikimmkimbia simba anayatikisa...akidakwa yanatafunwa!Such a moron!Kinachokufanya uishabikie CCM ni njaa tu.Mbali ya hapo ungekuwa "striper"!
 
Tanzania zaidi ya miaka 50 chini ya CCM.

Falsafa, mbinu, hila ni zilezile. Chama hiki kikongwe kitaleta mabadiliko gani?

Ulikuwa mtoto, hukufanya kitu. Ukawa kijana hukufanya kitu, ukawa mzee hukufanya kitu. Utafanya kitu cha maana ukishakuwa kikongwe?
 
Nje ya mada kamanda, jielekeze kwenye hoja. ''can you teach old dogs new tricks?''
Very true na ndio maana Tanzania kuwa donor country chini ya chama cha mafisi ni ndoto tena ya mchana kweupeee...!!
 
CDM ilikuwa inahitaji mawazo mapya na bongo mpya kwa kipindi hiki (Maoni yangu)
 
"Jiwe kushindwa ni somo tosha kwamba uzoefu ni muhimu ili kuongoza chama"

Hata mwenyekiti wa kijiji ujawai kuwa ila unakuwa mwenyekiti wa chama

Matokeo yake ndio utateka, utakimbia uchaguzi serikali za mitaa, utaua na kufunga kila mkosoaji wako!
👍
 
Back
Top Bottom